Mtoto wa Rais Samia (Wanu): Sitamani Kuonekana Mtoto wa Rais Nikiingia Mahali/Naumia Mzazi Akitukanwa

Mtumie your Ma'am,ujumbe huu:11 wafariki dunia ajalini Handeni, 13 wajeruhiwa
Jumanne, Januari 14, 2025
 
Mtumie your maam! Muulize hapo ni wapi? Akikujibu,mwambie your ma'am ,ndipo alipotufikisha.
 

Attachments

  • 5929282-43d7e58f930fba84b8de7085be6f9086.mp4
    19.9 MB
Mwambie aache kuteka na kuua watanzania wasio na hatia. Arekebishe na uchumi, wananchi hatutaki kuonea huku kazi zikiwa hakuna, matibabu ya ovyo, demokrasia iwepo. Akifanya hayo ambayo yote yapo chini ya uwezo wake, tutampenda sana na hatatukanwa hata na mtu mmoja
 
Mwambie your ma'am, kuwa,huko Kibaha, Kuna habari mbaya: Mkazi wa Kibaha Kwa Mfipa Melkisedeck Sostenes akiwaonyesha watu waliofika nyumbani kwake kumpa pole shimo alikotumbukizwa na wezi waliovamia nyumbani kwake Januari 15, 2025 na kuimba gari pesa na kuondoka na mtoto wake mchanga
 
Mungu anawaona wadhalilishaji wote waliomo humo CCM.
Wanadhalilisha mpaka Wazee tena wale waliokisaidia Chama kwa miaka nenda rudi !
Mungu awajaalie maradhi sugu yale makubwa makubwa ili nao wateseke maisha yao yote wale wote walioshiriki kudhalilisha Wazee kwa namna moja au nyingine 🙏🙏🙏 !
 
Kwa Maafisa Elimu Kata zote, Wakuu wa Shule za Serikali za Msingi na Sekondari, Moshi Manispaa, Kilimanjaro

Mkurugenzi wa Manispaa, Mwajuma Nasombe, kwa mamlaka aliyonayo, anawataka watumishi wote kuchangia fedha kwa ajili ya "Get Together" ya Watumishi Wote wa Moshi Manispaa, ikiwa ni sherehe ya kuukaribisha Mwaka 2025. Sherehe hii itafanyika tarehe 01.02.2025.

Kiwango cha Kuchangia

Wakuu wa Idara na Vitengo, Waratibu Elimu Kata, Wakuu wa Shule za Sekondari, na Walimu Wakuu wa Shule za Msingi: Tsh 50,000/-
Walimu Wote: Tsh 30,000/-
watumishi wengine: Tsh 20,000/-

Mwisho wa kuchangia ni siku ya 26.01.2025 bila kukosa.

Angalizo

Hata hivyo, ni muhimu kuwajulisha watumishi kuhusu baadhi ya masuala yanayohusiana na zoezi hili la kuchangia fedha:

1. Ushirikishwaji: Watumishi wengi hawajashirikishwa kabla ya tangazo hili. Ushirikishwaji wa awali ni muhimu ili kuhakikisha kuwa kila mmoja anafahamu lengo la michango hii.

2. Kamati ya Kuratibu: Hakuna kamati iliyoundwa kwa ajili ya kuratibu zoezi hili. Kukosekana kwa kamati kunaleta hofu miongoni mwa watumishi kuhusu matumizi ya fedha zao.

3. Muda wa Tangazo: Tangazo hili limetolewa muda mfupi sana, kuanzia tarehe 23.01.2025 na mwisho wa kuchangia ni tarehe 25.01.2025. Hii inapunguza nafasi ya watumishi kupanga na kujiandaa kwa michango yao.

4. Mshahara na Madeni: Watumishi wengi wamepokea mshahara wao na tayari wameshatumia kwa kulipa madeni wanayodaiwa. Hali hii inawafanya wengi kuwa na wasiwasi kuhusu kutoa michango zaidi.

5. Kujulishwa kwa Mkuu wa Wilaya: Mkuu wa Wilaya hajajulishwa kuhusu ukusanyaji huu wa fedha za michango, jambo ambalo ni muhimu ili kuweza kufuatilia matumizi ya fedha hizo.

6. *Kuchoshwa na Mkurugenzi:*Watumishi wengi wanasema wanachoshwa na mkurugenzi huyu, kwani mara kwa mara anaitisha michango. Wengi wanahisi kuwa huenda hii ni sehemu ya fedha za kampeni yake kuelekea kwenye uchaguzi wa ubunge.

Ombi

Kwa kuzingatia masuala haya, tunaomba zoezi hili lisitishwe hadi pale ambapo itakapofanyika mabadiliko yanayohitajika ili kuhakikisha kuwa watumishi wanashirikishwa ipasavyo na michango inakusanywa kwa njia ya uwazi na uaminifu.
Hii itasaidia kujenga uhusiano mzuri kati ya watumishi na uongozi wa manispaa.

Tunatumai kuwa maelezo haya yatasaidia katika kueleweka kwa sababu za kutokubali michango hii na kutafutwa kwa suluhisho la kudumu litakalowafaidi watumishi wote wa Moshi Manispaa.

Ahsanteni.
 
Aache kuteka na kuua watu wasio na hatia. Hatutamsema vibaya na ataishi kwa raha sana.
 
Hata mimi huwa naumia sana kuona Mheshimiwa Rais akitukanwa matusi na vitoto vidogo kama li Mdude Nyagali
Wewe ni mjinga mno na unajikomba. Msaidie kumwambia aache kuua wananchi wasio na hatia, hata kama wana hatia awapeleke mahakamani, aache kuiba kura kama watu wanampenda atashinda tu, aache kuuza mali za Tanganyika kwa hao rafiki zake, improve health care, watanzania hawastahili kufa kwa magonjwa wakati kila mwezi TRA wanatamba wanakusafanya zaidi ya Trillioni moja, ameshindwaje kutoka hata Billioni 100 kwa mwezi kuziwezesha hospitali za serikali kutoa huduma nzuri zikiwemo kutokukosa madawa?
 

Attachments

  • 1741872580381.png
    907.4 KB · Views: 1
  • IMG-20250309-WA0067.jpg
    72.3 KB · Views: 1
  • IMG_2831.jpeg
    824.6 KB · Views: 1
  • millardayo_87586b7fde804f1793b45dcc73d99f50.jpg
    180.4 KB · Views: 1
  • millardayo_a60d2b2aa8534d76a0ad5fc7153ab0cd.jpg
    148.8 KB · Views: 1
  • IMG-20250122-WA0047.jpg
    32.8 KB · Views: 1
  • 1737307857896.jpeg
    666.9 KB · Views: 1
  • IMG-20250313-WA0046.jpg
    177.6 KB · Views: 1
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…