milele amina
JF-Expert Member
- Aug 16, 2024
- 6,045
- 8,080
Mtumie your Ma'am,ujumbe huu:11 wafariki dunia ajalini Handeni, 13 wajeruhiwa
Jumanne, Januari 14, 2025
Jumanne, Januari 14, 2025
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwambie aache kuteka na kuua watanzania wasio na hatia. Arekebishe na uchumi, wananchi hatutaki kuonea huku kazi zikiwa hakuna, matibabu ya ovyo, demokrasia iwepo. Akifanya hayo ambayo yote yapo chini ya uwezo wake, tutampenda sana na hatatukanwa hata na mtu mmoja"Kuna mahali naingia nafanya kazi zangu naondoka bila Watu kujua kama nilikuwa pale, lakini unapokwenda kwenye shughuli za kijamii hasa harusi kuna Watu lazima wanitambulishe kama mtoto wa Rais, ile huwa inanifanya nisiwe huru katika mazingira yale" - Mhe. Wanu Hafidh Ameir, Mbunge na Mwenyekiti wa MIF
“Inaumiza kama mtoto kuona mzazi anarushiwa maneno mitandaoni na katika kipindi ambacho muda wake wote amewekeza kwa Taifa, muda mwingi anakuwa mbali na familia, lakini ni Mtu imara sana namfahamu hajawahi kutetereka kwenye hilo” - Mhe. Wanu Hafidh Ameir, Mbunge na Mwenyekiti wa MIF
"Moja kati ya changamoto kubwa ninayokutana nayo katika uongozi wangu ni wananchi wangu pamoja na Watu wengine kuhisi naweza kufanya kila kitu kwa kigezo kwamba ni mtoto wa Rais, sio kweli kwamba naweza kufanya kila kitu na kuna wakati nazidiwa" - Mhe. Wanu Hafidh Ameir, Mbunge na Mwenyekiti wa MIF
View attachment 3075878
Mungu anawaona wadhalilishaji wote waliomo humo CCM."Kuna mahali naingia nafanya kazi zangu naondoka bila Watu kujua kama nilikuwa pale, lakini unapokwenda kwenye shughuli za kijamii hasa harusi kuna Watu lazima wanitambulishe kama mtoto wa Rais, ile huwa inanifanya nisiwe huru katika mazingira yale" - Mhe. Wanu Hafidh Ameir, Mbunge na Mwenyekiti wa MIF
“Inaumiza kama mtoto kuona mzazi anarushiwa maneno mitandaoni na katika kipindi ambacho muda wake wote amewekeza kwa Taifa, muda mwingi anakuwa mbali na familia, lakini ni Mtu imara sana namfahamu hajawahi kutetereka kwenye hilo” - Mhe. Wanu Hafidh Ameir, Mbunge na Mwenyekiti wa MIF
"Moja kati ya changamoto kubwa ninayokutana nayo katika uongozi wangu ni wananchi wangu pamoja na Watu wengine kuhisi naweza kufanya kila kitu kwa kigezo kwamba ni mtoto wa Rais, sio kweli kwamba naweza kufanya kila kitu na kuna wakati nazidiwa" - Mhe. Wanu Hafidh Ameir, Mbunge na Mwenyekiti wa MIF
View attachment 3075878
Aache kuteka na kuua watu wasio na hatia. Hatutamsema vibaya na ataishi kwa raha sana."Kuna mahali naingia nafanya kazi zangu naondoka bila Watu kujua kama nilikuwa pale, lakini unapokwenda kwenye shughuli za kijamii hasa harusi kuna Watu lazima wanitambulishe kama mtoto wa Rais, ile huwa inanifanya nisiwe huru katika mazingira yale" - Mhe. Wanu Hafidh Ameir, Mbunge na Mwenyekiti wa MIF
“Inaumiza kama mtoto kuona mzazi anarushiwa maneno mitandaoni na katika kipindi ambacho muda wake wote amewekeza kwa Taifa, muda mwingi anakuwa mbali na familia, lakini ni Mtu imara sana namfahamu hajawahi kutetereka kwenye hilo” - Mhe. Wanu Hafidh Ameir, Mbunge na Mwenyekiti wa MIF
"Moja kati ya changamoto kubwa ninayokutana nayo katika uongozi wangu ni wananchi wangu pamoja na Watu wengine kuhisi naweza kufanya kila kitu kwa kigezo kwamba ni mtoto wa Rais, sio kweli kwamba naweza kufanya kila kitu na kuna wakati nazidiwa" - Mhe. Wanu Hafidh Ameir, Mbunge na Mwenyekiti wa MIF
View attachment 3075878
Wewe ni mjinga mno na unajikomba. Msaidie kumwambia aache kuua wananchi wasio na hatia, hata kama wana hatia awapeleke mahakamani, aache kuiba kura kama watu wanampenda atashinda tu, aache kuuza mali za Tanganyika kwa hao rafiki zake, improve health care, watanzania hawastahili kufa kwa magonjwa wakati kila mwezi TRA wanatamba wanakusafanya zaidi ya Trillioni moja, ameshindwaje kutoka hata Billioni 100 kwa mwezi kuziwezesha hospitali za serikali kutoa huduma nzuri zikiwemo kutokukosa madawa?Hata mimi huwa naumia sana kuona Mheshimiwa Rais akitukanwa matusi na vitoto vidogo kama li Mdude Nyagali
Na bado unamsifia na teuzi hupati hata ya mfagia ofisi pale lumumba.Hata mimi huwa naumia sana kuona Mheshimiwa Rais akitukanwa matusi na vitoto vidogo kama li Mdude Nyagali
Hata mimi huwa naumia sana kuona Mheshimiwa Rais akitukanwa matusi na vitoto vidogo kama li Mdude Nyagali