Mtoto wa Rais ya Jamhuri ya Afrika ya Kati akimpiga mzungu kibao

Mtoto wa Rais ya Jamhuri ya Afrika ya Kati akimpiga mzungu kibao

Wazungu wako pisi sana umeona walivyo flash hilo tukio?

Tukio hilo afanyiwe mbongo sasa japo video inajieleza lakini bado zingetemwa shombo.

Yangesikika maneno mengi ya kibaguzi na kuonesha jinsi gani waafrika hatupendwi na wazungu.
Acha kutoa toa sifa za hovyo bila kuelewa context, huyo dogo ni teja, amempiga doctor na msaidizi wake. Sasa unataka wafanye nini kwa issue kama hio? Au ulitaka waanza kumpiga na wao? Lazima wapotezee tu, angekua mzima wa akili hata hilo kofi lisingefika usoni, hamna mtu anapenda dharau awe mzungu au mwafrika
 
Sio kama sijasoma hiyo contents iliyonakiliwa kwenye instagram.

Ni kwamba ingefanyika hivyo kwa mzungu dhidi ya mwafrika wengi msingejali hilo.
 
Imeniuma huyo mama kupigwa. Ndiyo hii huwa inarithishwa na nchi. Afunguliwe mashtaka au aende kwenye hospitali ya vichaa.
 
Ni bora bange ipitishwe na iwe lazima kwa afrika yote, kama mvuta bange mmoja anaweza kujitambua na kumchapa makofi mzungu si ni bora watanganyika tuanze kuvuta bange ili tuwachape dp world na ma ccm kwa ujumla
Tanzania tu ndiyo tuna mambo ya kishamba
Nchi karibu zote Afrika hii
Kuanzia wahindi wachina wazungu huchukuliwa kwa ukawaida sana na hamna wa kuwanyenyekea
 
Tunaambiwa tisicheze na mazezeta. Dogo kapoteana alafu anavimba kwa cheo cha mzee itampa wakati mgumu
 
Wazungu wako pisi sana umeona walivyo flash hilo tukio?

Tukio hilo afanyiwe mbongo sasa japo video inajieleza lakini bado zingetemwa shombo.

Yangesikika maneno mengi ya kibaguzi na kuonesha jinsi gani waafrika hatupendwi na wazungu.
Hakuna watu wanafiki na roho mbaya kama wazungu. Wanakuchekea Huku wanakuchoma.
Ukiishi nao ndio utajua tabia zao halisi
 
Dogo aangalie hao watu hawasahau watamjia siku asiyo itarajia
 
Back
Top Bottom