Mtoto wa Simbachawene alimwa faini ya tsh. 250,000/=

Mtoto wa Simbachawene alimwa faini ya tsh. 250,000/=

Angehukumiwa Kamba Shingoni ingenoga.
Saddam Hussein aliwahi kumuhukumu kifo mwanae aliitwa Uday sababu jamaa alikuwa vyombo akaua mtu ikulu,

Mwishowe alimsamehe TU sababu ya nguvu ya papuchi,Mkewe alimind, hivo basi hakuna hukumu ya kifo Kama una connection
 
ningekuwa mimi pamoja na yote hayo, ningejiuzulu nafasi yangu niliyo teuliwa ili kuonyesha uwajibikaji kwa kitendo alicho fanya mtoto wangu haswa pale alipo tumia cheo cha Baba yake kujigamba kuwa yupo juu ya sheria na anaweza fanya makosa bila kuchukuliwa hatua kwa kutegemea wadhifa wa Baba yake.

viongozi wetu kuweni na utamaduni wa kuwajibika nyinyi wenyewe kwa makosa mbalimbali yanayo jitokeza, sio mpaka unyofolewe.
Vyeo kwao ni jambo binafsi ni issue ya rais kumuona na kumpa shavu basi hivyo muhimu kwake wa kumzingatia ni rais peke yake.
 
Jamaa kaoa mwaka Jana,Ana mji kabisa,kula kulala ni KWA masikini,hakuna mtoto wa Waziri kula kulala,
miaka 24 kaoa? kwani kuwa mtoto wa waziri huwezi kuwa kula,kulala? uwaziri ni kama nini labda, hao machalii hawajui shida kwahiyo suala la kula na kulala home ni kawaida sana hustlers wataelewa hii code
 
miaka 24 kaoa? kwani kuwa mtoto wa waziri huwezi kuwa kula,kulala? uwaziri ni kama nini labda, hao machalii hawajui shida kwahiyo suala la kula na kulala home ni kawaida sana hustlers wataelewa hii code
Unashangaa 24 kuna watu nilisoma nao O-level na walioa wana miaka 19-23 ,watu Wana connection Mkuu,jamaa unaambiwa ni mfanya iashara na alioa mwaka Jana

Mimi nimewahi kuwaona vijana wengi tu ambao kwao kuna pesa,sio kula kulala, siku ukishuhudia ndio utaelewa kula kulala ni WATOTO wetu sisi masikini, mtu anamaliza form 4 anapewa mtaji na nyumba

Kuna familia Tanzania hii kijana akiwa likizo ya chuo anaenda kusimamia kampuni au miradi ya familia kila siku asubuhi, Simbachawene yupo serikalini Miaka mingi hakufanya uzembe kwenye Hela,huyo dogo anatembelea Toyota vanguard, gari ambayo wanaendesha mabosi kwenye maisha haya ya kitanzania
 
Back
Top Bottom