Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haya ndio mambo sasa..miaka 23 unavuta mke...sio mtu miaka 30 bado huna mkeView attachment 2184972
Brooklyn Beckham mwenye umri wa miaka 23 amefunga ndoa na Nichola Peltz. David amewazawadia wanandoa Jaguar ya umeme model ya 1954 bei yake ni £350,000.
Baba yake Nichola ni millionaire huko Marekani.
Unaongea tu!Haya ndio mambo sasa..miaka 23 unavuta mke...sio mtu miaka 30 bado huna mke
Wengi tulipenda iwe hivyo lakini urithi mkuu wa sisi wanyonge ni elimu. Elimu yenyewe unasukumana nayo mpaka upate ajira. Ukipata ajira kwanza unawaza kuboresha makazi ya wazazi.Haya ndio mambo sasa..miaka 23 unavuta mke...sio mtu miaka 30 bado huna mke
Kama mimi vile nikija kuoa nshazeekaHaya ndio mambo sasa..miaka 23 unavuta mke...sio mtu miaka 30 bado huna mke
Kweli kabisa sasa ndio muhakikishe kuwa watoto wenu mnawasaidia kukwepa uzinzi kwa kuhakikisha wanapata urithi mzuri waoe na kuolewa mapemaWengi tulipenda iwe hivyo lakini urithi mkuu wa sisi wanyonge ni elimu. Elimu yenyewe unasukumana nayo mpaka upate ajira. Ukipata ajira kwanza unawaza kuboresha makazi ya wazazi.
Tupo wengi mzeya...mpaka miaka 40 wengine bado hatujaoaKama mimi vile nikija kuoa nshazeeka
KivipiUnaongea tu!
Pesa imeenda kwenye pesaView attachment 2184972
Brooklyn Beckham mwenye umri wa miaka 23 amefunga ndoa na Nichola Peltz. David amewazawadia wanandoa Jaguar ya umeme model ya 1954 bei yake ni £350,000.
Baba yake Nichola ni millionaire huko Marekani.
Kumbe hujaoa mkuu. Mimi mwenyewe nitachelewa naonaKama mimi vile nikija kuoa nshazeeka
🤣🤣Sijaoa mimi single fatherKumbe hujaoa mkuu. Mimi mwenyewe nitachelewa naona
Daaah hapa tupo wengi Sana sometyme sio kupenda , kuna mfumo mbovu sana kuanzia kwenye elimu , mpak kijamiii....!! Unamliza chuo kikuu Una 24 au 25 , hustle za kazi au uanze kusimama Una 27 , ndo mana graduate wengi wanaoa kwenye 28-33Tupo wengi mzeya...mpaka miaka 40 wengine bado hatujaoa