Mtoto wa Victoria na David Beckham afunga ndoa

Mtoto wa Victoria na David Beckham afunga ndoa

Daaah hapa tupo wengi Sana sometyme sio kupenda , kuna mfumo mbovu sana kuanzia kwenye elimu , mpak kijamiii....!! Unamliza chuo kikuu Una 24 au 25 , hustle za kazi au uanze kusimama Una 27 , ndo mana graduate wengi wanaoa kwenye 28-33
Je ni lazima tufuate mfumo wa mabeberu?
 
Hongera yake kabahatika jamaa yuko vizur sana Kwenye upishi.,,,,Wabongo ndio tunajali sana umri mara mwanaume amzid mwanamke umri sijui mwanamke anazeeka haraka blah blah,,,demu kamzid dogo 3/4 years anyways hongera kwao!
 
Kuna wale wa ku re sit O’level upate credits. Hili zoezi nalo linakula muda.
Kuna braza mmoja alirisiti mara 6 na bado hakutoboa kupata "C" moja ili aende advance, tuko form five ye bado anatafuta credit(alikuwa askari magereza),Alikuwa akitukuta tunacheza kamari na mdogo wake anatumaindi sana, mpaka anatupiga mitama
 
Back
Top Bottom