Mtoto wa Victoria na David Beckham afunga ndoa

Kweli mkuu...forty plus nipo nipo tuu sina mke. Sasa sii maisha ya kifala hayo. Ndio hivyo tuliendekeza uzinzi sasa tumesha unganishwa grid ya taifa so wacha tupambane na mshahara wa dhambi
Mkuu tafuta mmoja ule nae maisha,kuishi msela at 40s ni hatari kwa usalama wako kama mwanaume.
 
Kweli mkuu...forty plus nipo nipo tuu sina mke. Sasa sii maisha ya kifala hayo. Ndio hivyo tuliendekeza uzinzi sasa tumesha unganishwa grid ya taifa so wacha tupambane na mshahara wa dhambi
Grid ya taifa kwamba umeme?
 
Kweli mkuu...forty plus nipo nipo tuu sina mke. Sasa sii maisha ya kifala hayo. Ndio hivyo tuliendekeza uzinzi sasa tumesha unganishwa grid ya taifa so wacha tupambane na mshahara wa dhambi
Hivi we jamaa kweli huwa una nyenyere mwilini au unanogesha kijiwe hapa?[emoji848][emoji848]
 
Back
Top Bottom