Mtoto wa Victoria na David Beckham afunga ndoa

Mtoto wa Victoria na David Beckham afunga ndoa

Wengi tulipenda iwe hivyo lakini urithi mkuu wa sisi wanyonge ni elimu. Elimu yenyewe unasukumana nayo mpaka upate ajira. Ukipata ajira kwanza unawaza kuboresha makazi ya wazazi.
U know the reality, ukitoka familia za kawaida mpaka uje ufikie ndoto zako duu Ni safari ndefu mnoo, but God still bless us
 
Binti ana miaka 27 na baba yake ni "billionaire"someone Peltz siyo millionaire.Brooklyn anaonekana kama akili hazipo sawa namna fulani /hazijatulia by the way kila la kheri kwao
 
yani 23 kameoa...haka katoto kametudharau sana sisi 3rd world single fathers.
 
kweli miaka inakwenda mBio kweli kweli, kitoto kimezaliwa juzi kati leo hii tayari kimetimiza miaka 23 na kuoa juu??
 
Kweli kabisa sasa ndio muhakikishe kuwa watoto wenu mnawasaidia kukwepa uzinzi kwa kuhakikisha wanapata urithi mzuri waoe na kuolewa mapema
Mkuu kuoa/kuolewa mapema ni guarantee ya kutofanya uzinzi??
 
Hivi akisha muoa anaenda kumfanya nini??Nakumbuka siku sister angu anaolewa eti namimi nikasimama kujitambulisha kama kaka wa bibi arusi yani kufurahia dada anaenda kupigwa dudu aisee najiona fala mpaka leo.
Hata mimi katika vitu ambavyo sivipendi kabisa ni hivyo.. yani dada ako anaolewa basi kwenye sherehe ya harusi ukumbini pale unakuta mijianaume mizima inacheza muziki kama vichaa kufurahia dada kaolewa. Mimi nilikwepaga kuanzia siku dada anaavalishwa pete ya uchumba niliingia mitini... Siku ya harusi nilihudhuria lakini nilivumilia sana nilikaa nyuma kabisa nilipiga tungi la kutosha nanilikuwa natoka toka nje kuua so..
 
Jamani sasa hampendi tuolewe tukizalia nyumbani napo shidaa mbona kaka zetu mpo ivo 🤣
 
Back
Top Bottom