Mtoto wa Victoria na David Beckham afunga ndoa

Mtoto wa Victoria na David Beckham afunga ndoa

Kweli nimezeeka aisee..hiki kitoto si kimezaliwa juzi juzi tu hapa baba yake alikua bado yuko Manchester United?
 
Hivi akisha muoa anaenda kumfanya nini??Nakumbuka siku sister angu anaolewa eti namimi nikasimama kujitambulisha kama kaka wa bibi arusi yani kufurahia dada anaenda kupigwa dudu aisee najiona fala mpaka leo.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Duh! 40 years, huyo mtoto utakae mzaa si atakuita Babu, maana wewe ni Mzee tayari. Nimeoa nikiwa 27 years na najihisi nimechelewa Sana kuoa.
Hapa mzeya story ya familia halipo. Unaletaje mtoto wakati tayari miaka 40 na bado mchumba sina? Huko ni kutokuwa na ufikiria kuhusu watoto. Usemalo ni kweli yaani mtoto anakuona babu kabisa. Ulifanya vyema kuoa mapema.
 
Sina dispensary mkuu ni kimaabara..dispensary nilikua nimeajiriwa japo now sipo Kuna kozi nachukua nimeshindwa kujigawa ndo maana now nimepotea Sana humu.
Yeah that's y sikuoni siku hizi nikauliza[emoji848]

Karibu sana
 
Ingawa mi mtoto ila huyu dogo kazaliwa juzi tuu wakati nasoma gazeti la Sani
 
Wale wanaoipenda shule lakini shule haiwapendi
Ni kwasababu hatuna exposure ya mambo mengi. Kuna vipaji tofauti duniani. Vesarce na Dolace and Gabanna ni designer wakubwa duniani na wanaingiza pesa nyingi wala hawana university degree.
 
Ni kwasababu hatuna exposure ya mambo mengi. Kuna vipaji tofauti duniani. Vesarce na Dolace and Gabanna ni designer wakubwa duniani na wanaingiza pesa nyingi wala hawana university degree.
Pale ma-agemate wako wana vidigrii naww unatamani uwe nako na hii ndio Africa
 
Pale ma-agemate wako wana vidigrii naww unatamani uwe nako na hii ndio Africa
Niliongea na Professor mmoja kutoka Iran, aliniambia kwao Elimu ni baada ya dini kwa umuhimu. Vijana wakiwa wanajiandaa na mtihani wa form four hawaonekani mtaani. Wazazi wnanunua vitabu vyote vinavyohitajika. Chumbani kwa mtoto anakua na meza ya kusomea.

Unapanga combination yako na unahakikisha kila topic unaielewa. Majibu yakitoka kama umefeli hutoki nje mwezi mzima. Uso wako utauweka wapi!

Kila familia ni muhimu itoe Dr, Mwanasheria na Engineer.
 
Back
Top Bottom