Mtoto wa Victoria na David Beckham afunga ndoa

Mtoto wa Victoria na David Beckham afunga ndoa

Si kweli tena ukioa mapema kama ni mpenda mbunye uzinzi bado utaufanya sana tu tena ndo utazidisha...
Ok nimekupata. Cha msingi ni jinsi society nzima inavyolichukulia hili jambo.
Kuna jamii ujinga wa uzinzi hawauchulii poa na vijana mapema tuu wameshaoa na kuolewa...siwezi sema kwamba itaondoa kabisa bali itapunguza kwa kiasi kikubwa.

Sasa sie huku kwetu mtoto wa kike hajaolewa anakujakuzaa nyumbani wazazi wanakenua meno tuu...jibu lakijinga oh mtoto baraka toka kwa mungu🤣🤣🤣. Hapana hiyo sio bara huko ni kusupport uzinzi tuu.
 
Back
Top Bottom