Ok nimekupata. Cha msingi ni jinsi society nzima inavyolichukulia hili jambo.
Kuna jamii ujinga wa uzinzi hawauchulii poa na vijana mapema tuu wameshaoa na kuolewa...siwezi sema kwamba itaondoa kabisa bali itapunguza kwa kiasi kikubwa.
Sasa sie huku kwetu mtoto wa kike hajaolewa anakujakuzaa nyumbani wazazi wanakenua meno tuu...jibu lakijinga oh mtoto baraka toka kwa mungu🤣🤣🤣. Hapana hiyo sio bara huko ni kusupport uzinzi tuu.
Wengi tulipenda iwe hivyo lakini urithi mkuu wa sisi wanyonge ni elimu. Elimu yenyewe unasukumana nayo mpaka upate ajira. Ukipata ajira kwanza unawaza kuboresha makazi ya wazazi.