Is better kufahamu behind the scenePengine kweli mtoto wake, ila nafikili kuhusu kuonekana Kama ni mzee pengine nae labda mwenzetu hapo zamani alipita pita kwenye kamnyweso kale ka kienyeji....pengine lakini!!
Mtoto ndie sasa wakumlea baba yakeKakobe achukue watoto wake awalee ni wajibu wake!
Hapo tatizo sio umesikiani hata akivizia sawa tu si babake?Umaskini mbaya sana.
Hapo anavizia mali za mzee.
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Mwambie kakobe alee watoto wake aache janja janja the kid is very young ndo kwanza has turned 40 yrs
Wana umri gani kuna umri mtoto hatakiwi nyumbaniNadhani sasa unapambana na hisia zako.
Jipe muda uelewe undani wa hili suala. Mimi binafsi nimejiridhisha nimefika hadi kanisani hapo na kuweza kupata ukweli wa hili.
Nimefanikiwa pia kupata clue ya majirani wa familia pale Kijitonyama karibu na Mabatini alipokuwa anaishi mzee Kakobe.
Pia nimekuwa connected na jamaa walioshuhudia malezi ya huyo (hilo) mtoto unayetamani akaozee jela leo.
Kiufupi ni kuwa Askofu Kakobe hana sababu za kumkataa. Lakini unganisha dots kuwa hata wadogo zake wanamnyanyapaa hawana issue naye. Hapo ndipo mtu mwenye akili ya kupambanua anapata picha tatizo lipo wapi.
Kwa nini haujoulizi kuwa mbona hilo (huyo) totohamtafuti mama Askofu bali anataka tu kuzungumza na baba yake?
Unapokurupuka kukimbia mjusi bafu la.uswazi tena unatoka bila taulo hakuna ambaye atakuelewa unachokikimbia bali watapima uwezo wako wa akili na tukio la kukurupuka bila kujisitiri.
Jifunze kutafakari unaweza kuisaidia akili kufanya kazi hata once in your lifetime
Kama ulikua hujui wale wanaotoa ushuhuda ni wa kupangwa basi leo uelewe kwahiyo hawezi kupewa access ya kupanda jukwaaniSi aende jpili kanisani kama waumini wengine ahakikishe siku hiyo baba ake yupo asubiri muda wa kutoa ushuhuda anaenda mbele aelezee kila kitu kinachomsumbua anakuwa ameshaonana na baba yake tayari
HaikubalikiHapo tatizo sio umesikiani hata akivizia sawa tu si babake?
Hiyo ni biashara ya Baba yake hata kama kweli yeye inamhusu si apambane na maisha yake kwa nini ahangaike na biashara ya Baba yake aende zake zake hukoKama ulikua hujui wale wanaotoa ushuhuda ni wa kupangwa basi leo uelewe kwahiyo hawezi kupewa access ya kupanda jukwaani
Wewe unaongea Kama Nani ?Hiyo ni biashara ya Baba yake hata kama kweli yeye inamhusu si apambane na maisha yake kwa nini ahangaike na biashara ya Baba yake aende zake zake huko
Hatuhataji ya Baba yake yake yamemshinda ahangaike na ya kwake .Yeye mtu mzima atafite maisha ya Baba yake hayamhusu
Ahangaike na maisha yake Baba yake amwche aendelee na maisha yake yawe ya kweli au ya kitapeli ya kwake.kwani hamuombi hela ya kuishi yeye apambane na ya kwake
Akome kumfuata fuata Baba yake
Kasema uchumi umeyumba hivyo na familia yake wameyumbaWe huyo mtoto wa kakobe kasema anahitaji Kuonana na Baba yake Wala hajasema anataka Kupewa Huduma za kuishi then miaka 43 mbona michache Sana unabidi kupewa Huduma TU vizuri hata wewe una umri Mkubwa lakini mfukoni apeche alole na baba angekuwa ndo kakobe sijui kama ungeongea uo Upumbavu
Kama mzazi nisiyependa jitu zima lenye umri mkubwa miaka mingi kama hilo toto la Kakobe lenye miaka 43 lilazimishe uhusiano na mimi wakati sitaki kama mzaziWewe unaongea Kama Nani ?
Makubwa 🤣🤣🤣 basi apambane na maisha yake ana familia inamtegemea hiyo baba baba inamsaidia nini wakati kuna watoto nae wanamwita babaKama ulikua hujui wale wanaotoa ushuhuda ni wa kupangwa basi leo uelewe kwahiyo hawezi kupewa access ya kupanda jukwaani
Miaka 43 mbona sio mingi kukwama kupo mtoto hakui kwa mzaziKasema uchumi umeyumba hivyo na familia yake wameyumba
Uhusiano haulazimishwi uwe wa mzazi na mtoto mtu mzima miaka 43 huwezi lazimisha Uhusiano kuwa mzazi atake asitake lazima akubali uhusiano asipotaka atakoma utaenda vyombo vya habari au mahakamani
Aende kokote atakako iwe vyombo vya habari au mahakamani na aseme lolote
Jitu zima hilo miaka 43 linatishia nyau nani? Miaka 43 hata maisha hayajisimama jinga hilo. bado linasumbua wazazi
Halina akili
Ukizaa lazima umuhudumie mtoto Hadi yeye atakaposimama kiuchumi hakuna Cha umri miaka 43 midogo sanaKama mzazi nisiyependa jitu zima lenye umri mkubwa miaka mingi kama hilo toto la Kakobe lenye miaka 43 lilazimishe uhusiano na mimi wakati sitaki kama mzazi
Mtoto kwa baba hakuikuna mtoto wa miaka 43?
Ameibukia YouTubeFrank Kakobe alikuwa chapombe hatari na totoz kalikali za kanisani kwao, enzi hizooo! Sijui alipotelea wapi
Umri huo Tanzania hakuna kabila yeyote wa umri huo awe mwanaume au mwanamke anategemea mzazi iwe mjini au kijijiniUkizaa lazima umuhudumie mtoto Hadi yeye atakaposimama kiuchumi hakuna Cha umri miaka 43 midogo sana
Naona wenzetu wazungu ndio hii kitu wanaielewa vizuri,huwa nashangaa huku Africa MTU anamwacha mwanae ajihangaikie ilihali yeye akiwa na uwezo was kumsaidia.Ukizaa lazima umuhudumie mtoto Hadi yeye atakaposimama kiuchumi hakuna Cha umri miaka 43 midogo sana
Kama akumpatia misingi imara hawezi kusima economicallyUmri huo Tanzania hakuna kabila yeyote wa umri huo awe mwanaume au mwanamke anategemea mzazi iwe mjini au kijijini
Huyo wa Kakobe atakuwa mvuta bangi