Mtoto wa Zachary Kakobe: Mfikishieni salamu baba yangu namtafuta, sijaonana naye kwa Miaka 20, nikienda Kanisani sipati nafasi ya kumuona

Aisee kweli Zee zima hivi! Linajiita mtoto wa kakobe....43 yrs!? How old is zachary kakobe!?....

By the way....
Je ni mtoto wa nje!? Ndio maana kakobe hataki kuchafuka Cv kwa umma na kanisa...

Maana tayari atakuwa na familia nyingine inayotambulika rasmi hata church kwake...kakobe hataki kuchafuka.....
 
Zee zima unamlilia baba yako ? Kupelekwa shule haikutosha?
 
Kakobe achukue watoto wake awalee ni wajibu wake!
Inaweza kuwa kweli maana hata hilo Bichwa! la jamaa! Na kaupaa la katikati kichwani.....ni kakobe mtupu....
But beleave me....kakobe hauwezi kubali kuchafua image yake kwa umma na kanisa....kwa kuukubali ukweli .....

Asipo nyamaza atanyamazishwa!....
 
Jeh yeye kakobe hili neno ulilofafanua hapa halijui au kaamua kujizima data tu [emoji16][emoji16]
 
Hapana,huyu ni mtoto wake kweli kwenye miaka ya mwanzoni mwa 2000 alikuwa anasali kwa baba yake na kila mtu alimjua,alipoanza ulevi tu akatimuliwa nyumbani,nimeshangaa amezeeka ghafla hivi
Huyu jamaa namjua vizuri sana, alikuwa anaishi na baba ake pale kijitonyama. Alishawahi kumpiga mzee Kakobe pesa akaenda kuzilewea zote na marafiki zake, mzee Kakobe hakuwa na jinsi....
 
Usifike huko "atanyamazishwa" ukiamini hili basi hata like anachokihibiri askofu Kakobe basi hukiamini
 
JF mna maneno eti mstaafu πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
Hata kama mtoto kwa mzazi hakui, Baba Askofu amsamehe na kumrudisha kundini, kifamilia na kikanisa.

Kati ya mwaka jana au juzi, Askofu Kakobe alikuja ofisini na binti yake. Umri umeenda sasa na mvi zimekolea.
 
Askofu Kakobe kazaliwa June 6/1955.1955-2023=68 Kwa Sasa ana miaka 68.68-43=25 ina Maana huyo kijana alimpata akiwa na miaka 25.Kama kweli ni wake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…