Bueno
JF-Expert Member
- Sep 9, 2022
- 4,114
- 6,449
MZEE atakua ana bifu tu na mwanae kuna jambo limejificha halijawekwa wazi,Baba amsamehe tu kijana wake kama mwana mpotevu alivyosamehewa na baba yake, hata Mungu hutusamehe sisi wakosefu kila siku.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
MZEE atakua ana bifu tu na mwanae kuna jambo limejificha halijawekwa wazi,Baba amsamehe tu kijana wake kama mwana mpotevu alivyosamehewa na baba yake, hata Mungu hutusamehe sisi wakosefu kila siku.
Labda Mpango Wa KandoKumuona baba mpaka uandike barua?
Miaka 43 alelewe?[emoji1]Kakobe achukue watoto wake awalee ni wajibu wake!
Kwani kakobe ana umri gani??Je inawezekana mtoto akamzidi umri Mzazi?
😀Bado ananyonya😀Mtoto kwa mzazi hakui.
Tena barua 300 [emoji1] jamaa ana moyo sanaKumuona baba mpaka uandike barua?
Unataka tuseme kaka ake kakobe au nini?kuna mtoto wa miaka 43?
Tafuta maana ya mtoto.😀Bado ananyonya😀
Ngoja nitafuteTafuta maana ya mtoto.
Kabisa, haina tofaut na kurudisha mpira kwa kipa, uanze upyaNi haki ya mtoto kupata msaada wa baba yake, sio kosa, hata uwe na miaka 50 ,maisha yakikupiga kama baba yupo atowe msaada
Inaweza kuwa kweli maana hata hilo Bichwa! la jamaa! Na kaupaa la katikati kichwani.....ni kakobe mtupu....Kakobe achukue watoto wake awalee ni wajibu wake!
Huyu jamaa namjua vizuri sana, alikuwa anaishi na baba ake pale kijitonyama. Alishawahi kumpiga mzee Kakobe pesa akaenda kuzilewea zote na marafiki zake, mzee Kakobe hakuwa na jinsi....Hapana,huyu ni mtoto wake kweli kwenye miaka ya mwanzoni mwa 2000 alikuwa anasali kwa baba yake na kila mtu alimjua,alipoanza ulevi tu akatimuliwa nyumbani,nimeshangaa amezeeka ghafla hivi
Usifike huko "atanyamazishwa" ukiamini hili basi hata like anachokihibiri askofu Kakobe basi hukiaminiInaweza kuwa kweli maana hata hilo Bichwa! la jamaa! Na kaupaa la katikati kichwani.....ni kakobe mtupu....
But beleave me....kakobe hauwezi kubali kuchafua image yake kwa umma na kanisa....kwa kuukubali ukweli .....
Asipo nyamaza atanyamazishwa!....
Hili nalo neno 😂😂😂Angekua yeye katoboa kwenye maisha alaf baba hajatoboa angemkumbuka faza?
Askofu Kakobe kazaliwa June 6/1955.1955-2023=68 Kwa Sasa ana miaka 68.68-43=25 ina Maana huyo kijana alimpata akiwa na miaka 25.Kama kweli ni wake.Aisee kweli Zee zima hivi! Linajiita mtoto wa kakobe....43 yrs!? How old is zachary kakobe!?....
By the way....
Je ni mtoto wa nje!? Ndio maana kakobe hataki kuchafuka Cv kwa umma na kanisa...
Maana tayari atakuwa na familia nyingine inayotambulika rasmi hata church kwake...kakobe hataki kuchafuka.....