Kwanini akamtimua badala ya kumwombea ili hilo 'pepo' la ulevi(kama wanavyoita) limtoke!?Hapana,huyu ni mtoto wake kweli kwenye miaka ya mwanzoni mwa 2000 alikuwa anasali kwa baba yake na kila mtu alimjua,alipoanza ulevi tu akatimuliwa nyumbani,nimeshangaa amezeeka ghafla hivi
Tuseme Kakobe tangu awe mtumishi wa Mungu (?) hajawahi kuwahubiria waumini wake kuwasamehe wenzao wanaowakosea 7 x 70 kama ilivyoandikwa kwenye biblia anayotumia kuwahubiria? Na kwa huyu mwanae ameshawahi kumsamehe mara ngapi ili kuwa mfano kwa hao waumini wake?Kwanini akamtimua badala ya kumwombea ili hilo 'pepo' la ulevi(kama wanavyoita) limtoke!?
Hizi imani zina walakin..
mtu anabaki kuwa mtoto ili mradi wazazi wanaishikuna mtoto wa miaka 43?
Bado baba ni baba. Mtoto karudi ni muhimu apokelewe.Cha pombe sana amelinajisi kanisa na kumuaibisha baba yake
Hawa manabii wa Mazingaimbwe na viini macho hawa...Hapana,huyu ni mtoto wake kweli kwenye miaka ya mwanzoni mwa 2000 alikuwa anasali kwa baba yake na kila mtu alimjua,alipoanza ulevi tu akatimuliwa nyumbani,nimeshangaa amezeeka ghafla hivi
Duniani hataki kuchafuka lakini kwa anayemtumikia si kuchafuka. Lazima kuushinda ubaya kwa wema kama Yesu alivyo ushinda ubaya wa mwanafunzi wake Yuda.Aisee kweli Zee zima hivi! Linajiita mtoto wa kakobe....43 yrs!? How old is zachary kakobe!?....
By the way....
Je ni mtoto wa nje!? Ndio maana kakobe hataki kuchafuka Cv kwa umma na kanisa...
Maana tayari atakuwa na familia nyingine inayotambulika rasmi hata church kwake...kakobe hataki kuchafuka.....
Umezungua sana mkku!Umaskini mbaya sana.
Hapo anavizia mali za mzee.
Wanapaswa wayaishi kwa vitendo...yale wanayowahubiria watumishi waoDuniani hataki kuchafuka lakini kwa anayemtumikia si kuchafuka. Lazima kuushinda ubaya kwa wema kama Yesu alivyo ushinda ubaya wa mwanafunzi wake Yuda.
Hakuna afahamuye.Kwa nini hivyo, ana shida gani
Baada ya Uhamiaji kuanza kumhoji uraia wake ndipo kwa mara ya kwanza in more than 40yrs alienda kuwatembelea nduguze Kigoma.Kakobe hana simu, kwa nini asimpigie?, mama yake nae hataki mawasiliano nae, hata ya simu? Ndugu woote hamuwasiliani? Baba wadogo, shangazi, wajomba hawapo? Nimekumbuka story ya yule mama aliyejifanya kuzaa na Gwajima, baada ya dili kubuma, haijulikani kafichwa nchi gani. Mmeanza tena
Kwa hiyo unataka kusema kuwa hata wewe umekaza pumb* ukaachana na bababyako?Mwambieni huyu jamaa akaze pumb* aachane na kumtafuta baba yake ili alelewe.
Yeye ameshakuwa mkubwa haoni hadi mavyuzii yake yameshakuwa na rangi nyeupe.?
Mwambieni akitaka vya bure aende Mombasa kuna watu wanatafuta watu wa kuwalea.
Unaonekana unayajua vema maisha ya Askofu Kakobe.Kwa hiyo unataka kusema kuwa hata wewe umekaza pumb* ukaachana na bababyako?
Kama baba yupo hai, kwa nini asimtafute?
Hataki kulelewa maana amesema alishalelewa naye bali anataka kuzungumza naye. Hofu yenu ni kuwa atadai mali
Kwa mujibu wa vigezo vyako au unafananisha na usahihi upi wa maisha yake ili kusema nayajua?Unaonekana unayajua vema maisha ya Askofu Kakobe.
Amlee baba wa miaka 43?Kakobe achukue watoto wake awalee ni wajibu wake!
Bado atabaki tu kuwa 'mtoto' kwa Mzee Kakobe......mtoto kwa mzazi hakui.Aisee kweli Zee zima hivi! Linajiita mtoto wa kakobe....43 yrs!? How old is zachary kakobe!?....
By the way....
Je ni mtoto wa nje!? Ndio maana kakobe hataki kuchafuka Cv kwa umma na kanisa...
Maana tayari atakuwa na familia nyingine inayotambulika rasmi hata church kwake...kakobe hataki kuchafuka.....
Hawatafuti hao wote. Anamtafuta baba yakeKakobe hana simu, kwa nini asimpigie?, mama yake nae hataki mawasiliano nae, hata ya simu? Ndugu woote hamuwasiliani? Baba wadogo, shangazi, wajomba hawapo? Nimekumbuka story ya yule mama aliyejifanya kuzaa na Gwajima, baada ya dili kubuma, haijulikani kafichwa nchi gani. Mmeanza tena