whiteskunk
JF-Expert Member
- Jul 24, 2021
- 3,904
- 9,342
Tuliwahi kumtembelea jirani, tukaletewa soda hatujakaa sawa mtoto wake akaja na likikombe likubwa anaomba soda, ukimuwekea anaipiga tarumbeta anaomba tena, sio mtoto wangu ila nilihisi aibu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii ya kimbilikimo mama kanisimulia tena jana nilivokua mdogo nikashangaa mbna uyo mtu Mzma ila mdogo nikaanza kuita mama angalia uyo kwa sauti tena mbele za watu ilibidi mama Na shangazi waingie kwenye Duka kuzuga kwanza[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Kijana wangu bila kujua alimtania mbirikimo mbele ya umati akijua mtoto mwenzie.
Duu! Huu ulikuwa msala kweli.Mwanangu amekulia sehemu ambayo hakuna Waislamu hajawahi ona mtu akiwa amevaa yale sijui majuba au hijabu manguo meusi ya kufunika uso na mwili mzima.
Nilienda naye Morogoro kwa wazazi, asubuhi akakutana na mama wa kiislam Jirani yetu amevaa yale manguo. Naona mtoto kaja ndani spidi analia na kumuita Mama yake. Mamaaaaa kuna jini linakuja. Kidogo tunaona yule mama anakuja nyumbani. Dogo yupo chumbani amejifunika blanket. Ikabidi tuombe msamaha kwa yule mama maana alisikia na akawa amekasirika. Tukaanza muelekeza mtoto kwani alikuwa mtoto wa miaka 4 kipindi hiko.
Huyo mtoto aliwasaidia kumpa ukweli huyo mgeni. Kweli haipendezi kupakua chakula ambacho unajua hutakimaliza- mbaya zaidi upo ugenini. Ni bora upakue kisitoshe kuliko kubakiza.Kuna dada mmoja rafiki yangu,alinitembelea home, siku hiyo nilikua nipo na kabinti kangu , kana miaka mitatu .
Tukawa tupo mezani wote watatu wakati wa chakula cha mchana .
Baada ya kumaliza kula binti wa watu kabakiza chakula , akadai kashiba.
Kabinti kangu kakaropoka" icho chakula unamwachia nan? , unadhani baba yangu anapesa za mchezo" .
Duh niliona aibu sna ,sijui ayo maneno kayatolea wapi.
Ni ukwel, kabisa ila ilibdi akaushe , kwa sababu mda wote alikua kimya tu ,kumbe alikua anamchora mgen.Huyo mtoto aliwasaidia kumpa ukweli huyo mgeni. Kweli haipendezi kupakua chakula ambacho unajua hutakimaliza- mbaya zaidi upo ugenini. Ni bora upakue kisitoshe kuliko kubakiza.
Hii chai..Kitoto changu nilikipeleka hospital kuchek malaria sasa baada yakutoka hospital tukakaa bar flan jiran na hospital kumnunulia chips akawa anagonga pale mara siakaamza kulilia bia , eti nataka biaaa ,ninunulie bia nikawa nazuga pale muhudumu naomba malta huyu dogo malta anaitaga bia dogo likaanza sitaki hio nataka pombee kulikuza na wazee pale wakawa wananiona kama mpinga kristo halafu Chakushangaza sijawah kula gambe mbele yake na mama yake hanywi na kilikua na miaka miwili dah
Watoto wa kulelewa na singo maza hao,ungempa kofi olomife moja mpaka acheue hao dagaa na ugaliKuna dada mmoja rafiki yangu,alinitembelea home, siku hiyo nilikua nipo na kabinti kangu , kana miaka mitatu .
Tukawa tupo mezani wote watatu wakati wa chakula cha mchana .
Baada ya kumaliza kula binti wa watu kabakiza chakula , akadai kashiba.
Kabinti kangu kakaropoka" icho chakula unamwachia nan? , unadhani baba yangu anapesa za mchezo" .
Duh niliona aibu sna ,sijui ayo maneno kayatolea wapi.
Apana mkuu ,hajalelewa na mama yake hata kidgo ,wala haitokaa itokee ivyo.Watoto wa kulelewa na singo maza hao,ungempa kofi olomife moja mpaka acheue hao dagaa na ugali
Nilihisi tu huyu mtoto amekosa malezi ya pande mbili,i was rightApana mkuu ,hajalelewa na mama yake hata kidgo ,wala haitokaa itokee ivyo.
Upo sahihiNilihisi tu huyu mtoto amekosa malezi ya pande mbili,i was right
Hujachelewa mkuu mfundishe maadili muda huuUpo sahihi
SureHujachelewa mkuu mfundishe maadili muda huu
[emoji23]Nilikuwa na dogo tukapita kwa jirani tukawakuta wanakunywa chai wakiwa nje! , akaitwa njoo ulee, akawajibu "sili kwa watu mimi, baba si umenikataza nisile kwa watu eeh?"...looh nikabaki nimetoa macho.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kuna dada mmoja rafiki yangu,alinitembelea home, siku hiyo nilikua nipo na kabinti kangu , kana miaka mitatu .
Tukawa tupo mezani wote watatu wakati wa chakula cha mchana .
Baada ya kumaliza kula binti wa watu kabakiza chakula , akadai kashiba.
Kabinti kangu kakaropoka" icho chakula unamwachia nan? , unadhani baba yangu anapesa za mchezo" .
Duh niliona aibu sna ,sijui ayo maneno kayatolea wapi.
Tafuta hata wa kusingiziwa uache makasiriko[emoji23][emoji23][emoji23]Jamii Forum Kila mtu ana mtoto