Mtoto wako amewahi kukuaibisha mbele za watu?

Kijana wangu bila kujua alimtania mbirikimo mbele ya umati akijua mtoto mwenzie.
Hii ya kimbilikimo mama kanisimulia tena jana nilivokua mdogo nikashangaa mbna uyo mtu Mzma ila mdogo nikaanza kuita mama angalia uyo kwa sauti tena mbele za watu ilibidi mama Na shangazi waingie kwenye Duka kuzuga kwanza[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
Duu! Huu ulikuwa msala kweli.
 
Huyo mtoto aliwasaidia kumpa ukweli huyo mgeni. Kweli haipendezi kupakua chakula ambacho unajua hutakimaliza- mbaya zaidi upo ugenini. Ni bora upakue kisitoshe kuliko kubakiza.
 
Unapokuwa mgeni hasa kwenye nyumba yenye mtoto ni vyema kuwa makini sana....

Jamaa mmoja alienda ugenini sasa akawa ameketi sebleni wanaangalia TV sasa jamaa remote ilikuwa pembeni yake akaamua kuichukua abadili channel..pembeni alikuwa mtoto wa mwenyeji wake akaanza kumuuliza jamaa, "Wewe si mgeni?, Si umekuja saivi tuu? Mbona unatumia remote kama vile ni yako?"

Jamaa aliona aibu sana yani....
 
Mm nilienda kijijini issue za kulima, mtoto wa mwenyeji wangu ilipofika muda wa chakula akawa ananisukuma na kunivuta huku ananiambia "ondoka tule".

Kumbe bhana yule mwenyeji wangu alipika chakula alaf akakiweka ili nikiondoka ndo wale. Sasa yule dogo akakosa uvumilivu ikabidi anichane. Muda huohuo niliondoka na sikuwahi kukaa pale muda wa chakula.
 
Kitoto changu nilikipeleka hospital kuchek malaria sasa baada yakutoka hospital tukakaa bar flan jiran na hospital kumnunulia chips akawa anagonga pale mara siakaanza kulilia bia , eti nataka biaaa ,ninunulie bia nikawa nazuga pale muhudumu naomba malta huyu dogo malta anaitaga bia dogo likaanza sitaki hio nataka pombee kulikua na wazee pale wakawa wananiona kama mpinga kristo halafu Chakushangaza sijawah kula gambe mbele yake na mama yake hanywi na kilikua na miaka miwili dah
 
Huyo mtoto aliwasaidia kumpa ukweli huyo mgeni. Kweli haipendezi kupakua chakula ambacho unajua hutakimaliza- mbaya zaidi upo ugenini. Ni bora upakue kisitoshe kuliko kubakiza.
Ni ukwel, kabisa ila ilibdi akaushe , kwa sababu mda wote alikua kimya tu ,kumbe alikua anamchora mgen.
 
Hii chai..
 
Watoto wa kulelewa na singo maza hao,ungempa kofi olomife moja mpaka acheue hao dagaa na ugali
 
Watoto wa kulelewa na singo maza hao,ungempa kofi olomife moja mpaka acheue hao dagaa na ugali
Apana mkuu ,hajalelewa na mama yake hata kidgo ,wala haitokaa itokee ivyo.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Binti ana kitu atafika mbali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…