Sio kuwa ni mapema sana? Nyumbani ana mwangalizi hivyo sihitaji alelewe nje kwa sasa. Bado hajaweza kuunganisha sentensi vizuri japo kila kitu anaelewa na kila anachotaka anaweza kusemaAsante mkuu ni muda wa kumpeleka Daycare ya masaa matatu kwa siku.
Yuko sawa hyo daycare unampeleka sa tatu kamili, sa tano kamili anafuatwa.Sio kuwa ni mapema sana? Nyumbani ana mwangalizi hivyo sihitaji alelewe nje kwa sasa. Bado hajaweza kuunganisha sentensi vizuri japo kila kitu anaelewa na kila anachotaka anaweza kusema
Lazima atakuja kuwa kiongozi mkubwa kwenye hili taifaNiaje wakuu
Tusichoshane.
Mtoto wangu ametimiza miaka miwili mwezi wa kwanza. Kinachonishangaza ni kuwa hajikojolei wala kujinyea.
Akitaka kukojoa au ku poop anasema na usiku hata ukimvalisha pampas anaamka anakuambia anataka ku poop au jojoa.
Nimenunua kibunda cha pampas mwezi wa 11 ila hakijaisha. Na kula anakula hachagui chakula na kunywa maji, juice anakunywa kila siku ila hajikojolei.
Huyu chaliangu ni jembe.
Au wamama mnasemaje? Dr Lizzy Simara Culture Me cocastic Sky Eclat Joanah Bushmamy Numbisa Shunie Depal Makiwendo Evelyn Salt Hannah Stress Challenger Chaliifrancisco
Katafute jukwaa la watoto. Sasa hapa unataka kutuambia nini. Au unafikiri JF ndio mzazi mwenza wa huyo mtoto wako? We chizi au bado zinakutosha kweli? Subiri utapata machizi wenzako nilifikiri mtoto ana matatizo unatafuta ushauri.Niaje wakuu
Tusichoshane.
Mtoto wangu ametimiza miaka miwili mwezi wa kwanza. Kinachonishangaza ni kuwa hajikojolei wala kujinyea.
Akitaka kukojoa au ku poop anasema na usiku hata ukimvalisha pampas anaamka anakuambia anataka ku poop au jojoa.
Nimenunua kibunda cha pampas mwezi wa 11 ila hakijaisha. Na kula anakula hachagui chakula na kunywa maji, juice anakunywa kila siku ila hajikojolei.
Huyu chaliangu ni jembe.
Au wamama mnasemaje? Dr Lizzy Simara Culture Me cocastic Sky Eclat Joanah Bushmamy Numbisa Shunie Depal Makiwendo Evelyn Salt Hannah Stress Challenger Chaliifrancisco
Mim niliacha form 2 daaah nomaHakojoi kwasababu unamvalisha pampas sio?
Mimi nilikojoa mpaka form four.
Mbona kawaida tu,sie tuliozaa Dunia hatushangai maana tunawatoto wakila aina.Mmoja aliotameno namiez 3,mwingine aliongea namiezi6,mwingine alitembea namiezi6 na kukojoa mmoja aliacha namiezi8 nikazani mgonjwa hospital wakamchunguza wakaniambia nikawaida na wote wanatembea miezi 8-9 wanaanza kula miezi 2 ata wakiwa usingizini ukipereka tonge wanalo..japo wangine wameshakua kabisaMbona wangu aliacha chini ya umri kama huo, hajinyei kabisa under 2.5' years anaweza count vizuri
ππππ ameona una umamamaUmenitag kwahiyo na mimi ni mama kama hao wengine?
Na mavi mhaloUmekuja kujigamba hapa sasa kuanzia mwezi ujao kitanda kitaloa mkojo
Nafikiri wao ndo walipaswa kukupa uthibitisho ili ujiridhishe, maana hata km nikikujibu km utaona ni uongo.Kuna watu walikua wanasema kua wewe Ni mchicha mwiba yani valve zinafunguka kote...Kuna ukweli au uzushi?
Hongera sana kwa chaliii etu, mdogo ake atakua zaidi ya huyooo.Hongera sana La Quica kweli umekuza jembe haswaa,
Chalii inaonesha ana kinyaa ndio maana hataki kujisaidia kwenye nguo, [emoji847]
Jembe langu lilikua halitaki kusafishwa akijisaidia hasa haja kubwa hapo alikua ana miaka miwili na kitu ndio akaanza kutuletea hiyo mikato, ikabidi tuanze kumfundisha jinsi ya kujisafisha mwenyewe hadi leo anapambana mwenyewe, hatujui kwa mdogo wake itakuaje.
Mzee vipi mbona umejaa sana sumu arif?Katafute jukwaa la watoto. Sasa hapa unataka kutuambia nini. Au unafikiri JF ndio mzazi mwenza wa huyo mtoto wako? We chizi au bado zinakutosha kweli? Subiri utapata machizi wenzako nilifikiri mtoto ana matatizo unatafuta ushauri.
Au sindio?ππππ ameona una umamama