La Quica
JF-Expert Member
- Dec 19, 2017
- 1,009
- 2,315
- Thread starter
- #81
Sio kuwa ni mapema sana? Nyumbani ana mwangalizi hivyo sihitaji alelewe nje kwa sasa. Bado hajaweza kuunganisha sentensi vizuri japo kila kitu anaelewa na kila anachotaka anaweza kusemaAsante mkuu ni muda wa kumpeleka Daycare ya masaa matatu kwa siku.