Mtoto wangu ananishangaza

Mtoto wangu ananishangaza

Asante mkuu ni muda wa kumpeleka Daycare ya masaa matatu kwa siku.
Sio kuwa ni mapema sana? Nyumbani ana mwangalizi hivyo sihitaji alelewe nje kwa sasa. Bado hajaweza kuunganisha sentensi vizuri japo kila kitu anaelewa na kila anachotaka anaweza kusema
 
Hongera sana La Quica kweli umekuza jembe haswaa,
Chalii inaonesha ana kinyaa ndio maana hataki kujisaidia kwenye nguo, 🤗

Jembe langu lilikua halitaki kusafishwa akijisaidia hasa haja kubwa hapo alikua ana miaka miwili na kitu ndio akaanza kutuletea hiyo mikato, ikabidi tuanze kumfundisha jinsi ya kujisafisha mwenyewe hadi leo anapambana mwenyewe, hatujui kwa mdogo wake itakuaje.
 
Sio kuwa ni mapema sana? Nyumbani ana mwangalizi hivyo sihitaji alelewe nje kwa sasa. Bado hajaweza kuunganisha sentensi vizuri japo kila kitu anaelewa na kila anachotaka anaweza kusema
Yuko sawa hyo daycare unampeleka sa tatu kamili, sa tano kamili anafuatwa.
Hutaona mabadiliko mengi na ukuaji mzuri zaid kwa sabb anakua karibu watoto, anajifunza vitu vdg vdg.
Ila tu apelekwe daycare ya karibu sana.
Au ww huyo huyo ndo uwe mwalimu wa daycare baada ya kazi zako, Kila siku na ratiba mpya.
 
Hujaona yote bado watoto wanabadili tabia kadri wanavyokua , usishangae akaanza kumbua au kujikojelea hasa akiamza michezo mingi
 
Niaje wakuu

Tusichoshane.

Mtoto wangu ametimiza miaka miwili mwezi wa kwanza. Kinachonishangaza ni kuwa hajikojolei wala kujinyea.

Akitaka kukojoa au ku poop anasema na usiku hata ukimvalisha pampas anaamka anakuambia anataka ku poop au jojoa.

Nimenunua kibunda cha pampas mwezi wa 11 ila hakijaisha. Na kula anakula hachagui chakula na kunywa maji, juice anakunywa kila siku ila hajikojolei.

Huyu chaliangu ni jembe.

Au wamama mnasemaje? Dr Lizzy Simara Culture Me cocastic Sky Eclat Joanah Bushmamy Numbisa Shunie Depal Makiwendo Evelyn Salt Hannah Stress Challenger Chaliifrancisco
Lazima atakuja kuwa kiongozi mkubwa kwenye hili taifa
 
Katafute jukwaa la watoto. Sasa hapa unataka kutuambia nini. Au unafikiri JF ndio mzazi mwenza wa huyo mtoto wako? We chizi au bado zinakutosha kweli? Subiri utapata machizi wenzako nilifikiri mtoto ana matatizo unatafuta ushauri.
 
Haya mambo huwa yanachanganya na pia Kuna watu wazima wanapitia changamoto za ugonjwa wa kujikojolea unakuta mtu anafika hadi miaka 20+ ila anajikojolea
 
Mbona wangu aliacha chini ya umri kama huo, hajinyei kabisa under 2.5' years anaweza count vizuri
Mbona kawaida tu,sie tuliozaa Dunia hatushangai maana tunawatoto wakila aina.Mmoja aliotameno namiez 3,mwingine aliongea namiezi6,mwingine alitembea namiezi6 na kukojoa mmoja aliacha namiezi8 nikazani mgonjwa hospital wakamchunguza wakaniambia nikawaida na wote wanatembea miezi 8-9 wanaanza kula miezi 2 ata wakiwa usingizini ukipereka tonge wanalo..japo wangine wameshakua kabisa
 
Mimi wangu aliacha mwaka mmoja na miezi miwili mbona!
 
Kuna watu walikua wanasema kua wewe Ni mchicha mwiba yani valve zinafunguka kote...Kuna ukweli au uzushi?
Nafikiri wao ndo walipaswa kukupa uthibitisho ili ujiridhishe, maana hata km nikikujibu km utaona ni uongo.

Wao ndo wanapaswa wathibitishe madai yao.
 
Hongera sana La Quica kweli umekuza jembe haswaa,
Chalii inaonesha ana kinyaa ndio maana hataki kujisaidia kwenye nguo, [emoji847]

Jembe langu lilikua halitaki kusafishwa akijisaidia hasa haja kubwa hapo alikua ana miaka miwili na kitu ndio akaanza kutuletea hiyo mikato, ikabidi tuanze kumfundisha jinsi ya kujisafisha mwenyewe hadi leo anapambana mwenyewe, hatujui kwa mdogo wake itakuaje.
Hongera sana kwa chaliii etu, mdogo ake atakua zaidi ya huyooo.
[emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]
 
Katafute jukwaa la watoto. Sasa hapa unataka kutuambia nini. Au unafikiri JF ndio mzazi mwenza wa huyo mtoto wako? We chizi au bado zinakutosha kweli? Subiri utapata machizi wenzako nilifikiri mtoto ana matatizo unatafuta ushauri.
Mzee vipi mbona umejaa sana sumu arif?
 
Back
Top Bottom