Kipangaspecial
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 20,778
- 28,722
Angalia kwenye ile list ya watu uliowa tag, utawaona.Lesbian ni nani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Angalia kwenye ile list ya watu uliowa tag, utawaona.Lesbian ni nani?
Hicho alichokiandika bado hakimfanyia awe mwanamke. Mtu yoyote wa jinsia yoyote anaweza type chochote mtandaoni.Kuna watu walikua wanasema kua wewe Ni mchicha mwiba yani valve zinafunguka kote...Kuna ukweli au uzushi?
Umenitag kwahiyo na mimi ni mama kama hao wengine?
Mtu anatongoza bado anaulizwa kasemaje!Unataka kusemaje ? 🤔
Nisaidie wee mwenzangu.Hicho alichokiandika bado hakimfanyia awe mwanamke. Mtu yoyote wa jinsia yoyote anaweza type chochote mtandaoni.
Kaa upoe we mama, hivi mwanetu ana miaka mingapi sasaUmenitag kwahiyo na mimi ni mama kama hao wengine?
We mzee unazidi kuzeeka vibayaKaa upoe we mama, hivi mwanetu ana miaka mingapi sasa
Chalii angu mbona unaturushiya stimu arriff..Sorry nisije kukuharibia njaro zako
Ndio vizuri tutaniane na wajukuu.We mzee unazidi kuzeeka vibaya
Bablai samahaniChalii angu mbona unaturushiya stimu arriff..
Yeah,na wanakuwa very smart Kwa kichwaNiaje wakuu
Tusichoshane.
Mtoto wangu ametimiza miaka miwili mwezi wa kwanza. Kinachonishangaza ni kuwa hajikojolei wala kujinyea.
Akitaka kukojoa au ku poop anasema na usiku hata ukimvalisha pampas anaamka anakuambia anataka ku poop au jojoa.
Nimenunua kibunda cha pampas mwezi wa 11 ila hakijaisha. Na kula anakula hachagui chakula na kunywa maji, juice anakunywa kila siku ila hajikojolei.
Huyu chaliangu ni jembe.
Au wamama mnasemaje? Dr Lizzy Simara Culture Me cocastic Sky Eclat Joanah Bushmamy Numbisa Shunie Depal Makiwendo Evelyn Salt Hannah Stress Challenger Chaliifrancisco
Niaje wakuu choshane.

Aina rekwe chalii anguBablai samahani
Ninyi mna bahati tu, wengine wana mwaka na nusu lakini hata ukimwekea Poti hapo hataki kabisa kukalia...ni kuvaa pampas daily, hourlyMbona wangu aliacha chini ya umri kama huo, hajinyei kabisa under 2.5' years anaweza count vizuri
Mtoto akifika miezi 7 anatakiwa afunzwe kupangwa kujisaidia haja zote kubwaa na ndogo mpk akiamkwa asubuhi unamuweka Kwa potti mpk akojoe mchana pia unamuacha km masaa mawili then unampanga TenaNinyi mna bahati tu, wengine wana mwaka na nusu lakini hata ukimwekea Poti hapo hataki kabisa kukalia...ni kuvaa pampas daily, hourly
Kuna watoto nilishawah kuwaona wakiwa wadogo wanakuwa smart sana kama mleta uzi alivyosema lakin akifisha miaka 4 anaanza kukojoaUmekuja kujigamba hapa sasa kuanzia mwezi ujao kitanda kitaloa mkojo