Mtoto wangu yupo kidato Cha 3 lakini hata dirishani hafiki; atarefuka kweli au ndo basi?

Mtoto wangu yupo kidato Cha 3 lakini hata dirishani hafiki; atarefuka kweli au ndo basi?

Imeisha hiyo mkuu!, uliza mkeo vizuri kama kote kwenu na kwao kuna mbegu ndefu, mwambie akueleze malaika wa watu ufupi ametoa kwanani!.. ikibidi nialike nione unavyomuhoji mkuu...😂
 
Dirisha linaanza kozi ya nne tu.....na kozi nne maana yake ni tofali nne. Pamoja na hayo lakini mwanangu huyu aliye kidato Cha tatu hawezi kufika. Ni mfupi kweli. Vipi jamani, atarefuka baadae?!!! Ana miaka 17.
Kama na wewe ni mfupi itakuwa amerithirithi kama sio hata kwa ukoo hakuna mhhhh, lakini kwa huo umri atarefuka kidogo yaani kiduchu tu hapo
 
Duhh
IMG-20250520-WA0412.jpg
 
Pole sana, kama ni mwanaume atateseka sana kwenye hii dunia, labda aje awe na pesa nyingi ama maisha ya kawaida standard ,,, bora ke ! Kwa ujumla sipendi ufupi
Pamoja na uumbaji wa Mungu ila kwa macho ya kibinadamu Ni kweli mwanaume akiwa mfupi alfu maisha yakiwa hayajamkaa poa hiki kizazi cha 2018+ watamsosora sana
 
Back
Top Bottom