Mtoto wangu yupo kidato Cha 3 lakini hata dirishani hafiki; atarefuka kweli au ndo basi?

Dirisha linaanza kozi ya nne tu.....na kozi nne maana yake ni tofali nne. Pamoja na hayo lakini mwanangu huyu aliye kidato Cha tatu hawezi kufika. Ni mfupi kweli. Vipi jamani, atarefuka baadae?!!! Ana miaka 17.
Lazima ana kipaji huyo, mpeleke akaungane na yule mwigizaji futi mbili apige hela. Ufupi ni kipaji.
 
Dirisha linaanza kozi ya nne tu.....na kozi nne maana yake ni tofali nne. Pamoja na hayo lakini mwanangu huyu aliye kidato Cha tatu hawezi kufika. Ni mfupi kweli. Vipi jamani, atarefuka baadae?!!! Ana miaka 17.
Wewe una urefu inch ngapi
 
Usihofu mkuu,
Kuna mtoto wa jamaa yangu alikuwa mfupi sana, hadi anamaliza f iv alikuwa mfupi mno.

Nilishangaa kukaa mwaka bila kuonana siku nilipomuona sikuamini ni yeye, karefuka hatari.

Hata hivyo, akiwa mfupi pia ni kudra za Mungu.
 
Dirisha linaanza kozi ya nne tu.....na kozi nne maana yake ni tofali nne. Pamoja na hayo lakini mwanangu huyu aliye kidato Cha tatu hawezi kufika. Ni mfupi kweli. Vipi jamani, atarefuka baadae?!!! Ana miaka 17.
😁😁 Mkuu hili Jambo la mtoto wako kushindwa KUREFUKA Ina maana CCM WAMESHINDWA KULITATUA MPAKA UMEAMUA KULILETA HUMU.

MITANO TENA KWA MAMA
 
Back
Top Bottom