Mkereketwa_Huyu
JF-Expert Member
- Feb 19, 2011
- 10,586
- 7,976
Na hiyo 4'9 labda nimempendelea tu, ni kambilikimo mno....yaani jamaa ana uluguru flani hivi ndani ya damu yake.Steve nyerere ana onekana mrefu una uhakika ni 4'9 ft?
Na hiyo 4'9 labda nimempendelea tu, ni kambilikimo mno....yaani jamaa ana uluguru flani hivi ndani ya damu yake.Steve nyerere ana onekana mrefu una uhakika ni 4'9 ft?
Kozi nne za Kulaza au Kusimamisha? Fafanua mkuu.Dirisha linaanza kozi ya nne tu.....na kozi nne maana yake ni tofali nne. Pamoja na hayo lakini mwanangu huyu aliye kidato Cha tatu hawezi kufika. Ni mfupi kweli. Vipi jamani, atarefuka baadae?!!! Ana m