Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 47,397
- 101,204
Hahahahaha,mtuache tujiachieSure wanapataga tabu sana watu wafupi....mpk huruma...sasa utawakuta wana force kuwa na wadada warefu wanaishia kupigwa na vitu vizito...
Hahahahaha,mtuache tujiachieSure wanapataga tabu sana watu wafupi....mpk huruma...sasa utawakuta wana force kuwa na wadada warefu wanaishia kupigwa na vitu vizito...
Nitamwambia mama yake afanye hiyo kazi...ila sasa sije akamgegeda mama yake mkuuMmasaji kwa mafuta ya Nazi kilasiku anapooga ....muwahi kabla hajakomas
Ukiondoa Genetic, Lishe hua ni sababu ya pili,Umekariri!
Watu tumekula nguna tangu tukiwa na mwezi 1 na tuko warefu kama ghorofa!
Huyo hajadumaa ila ndio umbile lake nae Mungu kaamua awe hivyo
Na chakula cha kutoshaNa anywe maji kwa wingi pia
Embu weka picha yake hapaMwanangu ana mwaka mmoja na miezi miwili ana ana cm87, ni mrefu mpaka naogopa ase😅😅😅
Halafu unajiita doktaDirisha linaanza kozi ya nne tu.....na kozi nne maana yake ni tofali nne. Pamoja na hayo lakini mwanangu huyu aliye kidato Cha tatu hawezi kufika. Ni mfupi kweli. Vipi jamani, atarefuka baadae?!!! Ana miaka 17.
🤣🤣🤣🤣🤣Ndo mana watu wa The 100 series walikujaga na neno endapo mtu akifa husema "Your fight is over"
Kwenye hii dunia hakuishi matatizo kila uchwao! Yani ni mapambano mwanzo mwisho! Umeamzaa mtu mara tena harefuki👐
Wewe unafikia hilo dirisha, kama ndiyo basi mpime DNA, usikute ni wa jirani yako ama mtu wa huko kijijini atokako mkeo. Wanawake hawa, basi tu.Dirisha linaanza kozi ya nne tu.....na kozi nne maana yake ni tofali nne. Pamoja na hayo lakini mwanangu huyu aliye kidato Cha tatu hawezi kufika. Ni mfupi kweli. Vipi jamani, atarefuka baadae?!!! Ana miaka 17.
Aisee mimi tena mkuu, mi najikubali sana.Pole sana , jikubali
Kwa nini usimshukuru "mama yenu' kwa huo ufupi ka mfanyavyo kwenye kila jambo!!?Dirisha linaanza kozi ya nne tu.....na kozi nne maana yake ni tofali nne. Pamoja na hayo lakini mwanangu huyu aliye kidato Cha tatu hawezi kufika. Ni mfupi kweli. Vipi jamani, atarefuka baadae?!!! Ana miaka 17.
Itakuwa mlimdumza alipokuwa anakua......hadi kufikia miaka 22 ataongezeka kidogoDirisha linaanza kozi ya nne tu.....na kozi nne maana yake ni tofali nne. Pamoja na hayo lakini mwanangu huyu aliye kidato Cha tatu hawezi kufika. Ni mfupi kweli. Vipi jamani, atarefuka baadae?!!! Ana miaka 17.
wewe ni mchagga?We ni mpare???
(Sitaki kufokewa 😁)