Mtoto wangu yupo kidato Cha 3 lakini hata dirishani hafiki; atarefuka kweli au ndo basi?

Mtoto wangu yupo kidato Cha 3 lakini hata dirishani hafiki; atarefuka kweli au ndo basi?

Dirisha linaanza kozi ya nne tu.....na kozi nne maana yake ni tofali nne. Pamoja na hayo lakini mwanangu huyu aliye kidato Cha tatu hawezi kufika. Ni mfupi kweli. Vipi jamani, atarefuka baadae?!!! Ana miaka 17.
Huyo ndo imeisha cha mhimu mfundishe uchawa tu na roho mbaya ya kimbogamboga au mpelekee kwa anko yake Lucas Mwanshamba sijui akajifunze kulia michozi ya furaha
 
Ulikua unampa lishe nzuri tangu utotoni kwake au ndio uji wa dona asubuhi, ugali dagaa mchana na wali maharage usiku mtoto wa mwaka mmoja!!! hapo hakuna muujiza zaidi ya kudumaa
Umekariri!

Watu tumekula nguna tangu tukiwa na mwezi 1 na tuko warefu kama ghorofa!

Huyo hajadumaa ila ndio umbile lake nae Mungu kaamua awe hivyo
 
Back
Top Bottom