Mtoto wangu yupo kidato Cha 3 lakini hata dirishani hafiki; atarefuka kweli au ndo basi?

Dirisha linaanza kozi ya nne tu.....na kozi nne maana yake ni tofali nne. Pamoja na hayo lakini mwanangu huyu aliye kidato Cha tatu hawezi kufika. Ni mfupi kweli. Vipi jamani, atarefuka baadae?!!! Ana miaka 17.
kuongezeka inawezekana tu, Kuna jamaa nilisoma nae alikuwa mfupi mpaka tulipomaliza form 4 but nilikuja kuonana nae chuo aisee amekuwa mrefu wakuzidi.
 
Dirisha linaanza kozi ya nne tu.....na kozi nne maana yake ni tofali nne. Pamoja na hayo lakini mwanangu huyu aliye kidato Cha tatu hawezi kufika. Ni mfupi kweli. Vipi jamani, atarefuka baadae?!!! Ana miaka 17.
Pole sana
 
Utamuharibu kisaikoloji endapo akijua kuwa unakereka na ufupi wake .

Mwili huwa una develop hadi 22 years kwahiyo atarefuka Ila anaweza asiwe na urefu wa kufika 5.8 au 5.7
Wamaasai, wadinka, wahutu na watutsi wana refuka hadi 25 sema most tribes zinaishia 21 hapo
 
Dirisha linaanza kozi ya nne tu.....na kozi nne maana yake ni tofali nne. Pamoja na hayo lakini mwanangu huyu aliye kidato Cha tatu hawezi kufika. Ni mfupi kweli. Vipi jamani, atarefuka baadae?!!! Ana miaka 17.
Weka picha
 
Mwangalie vizuri kama mnafanana kwa chochote kile, ukiona vipi kampime vinasaba....usije kuta unatunza mtoto wa msemaji mkuu wa serikali (Steve Nyerere). Wanawake bwana wanatukosea sana wanaume.
 
167cm au 5'5.5
4'9 kama Steve Nyerere au Harmorapa
1749862001398.png

1749862250184.png
 
Nimetuma picha ya babaake... Nawewe tuma ya mtoto
1000054556.jpg
 
Mrithi huzidi, kama urefu atakua mrefu zaidi, kama ufupi atakuwa mfupi zaidi(pimbi)
 
Back
Top Bottom