Dr wa Manesi
JF-Expert Member
- Aug 19, 2024
- 6,479
- 4,974
Kama na wewe ni mfupi itakuwa amerithirithi kama sio hata kwa ukoo hakuna mhhhh, lakini kwa huo umri atarefuka kidogo yaani kiduchu tu hapoDirisha linaanza kozi ya nne tu.....na kozi nne maana yake ni tofali nne. Pamoja na hayo lakini mwanangu huyu aliye kidato Cha tatu hawezi kufika. Ni mfupi kweli. Vipi jamani, atarefuka baadae?!!! Ana miaka 17.
Jamani ufupi so ugonjwa btw,umevunΓ ulichopandaDirisha linaanza kozi ya nne tu.....na kozi nne maana yake ni tofali nne. Pamoja na hayo lakini mwanangu huyu aliye kidato Cha tatu hawezi kufika. Ni mfupi kweli. Vipi jamani, atarefuka baadae?!!! Ana miaka 17.
Pamoja na uumbaji wa Mungu ila kwa macho ya kibinadamu Ni kweli mwanaume akiwa mfupi alfu maisha yakiwa hayajamkaa poa hiki kizazi cha 2018+ watamsosora sanaPole sana, kama ni mwanaume atateseka sana kwenye hii dunia, labda aje awe na pesa nyingi ama maisha ya kawaida standard ,,, bora ke ! Kwa ujumla sipendi ufupi
Lishe sio kigezoUlikua unampa lishe nzuri tangu utotoni kwake au ndio uji wa dona asubuhi, ugali dagaa mchana na wali maharage usiku mtoto wa mwaka mmoja!!! hapo hakuna muujiza zaidi ya kudumaa
Sure wanapataga tabu sana watu wafupi....mpk huruma...sasa utawakuta wana force kuwa na wadada warefu wanaishia kupigwa na vitu vizito...Pamoja na uumbaji wa Mungu ila kwa macho ya kibinadamu Ni kweli mwanaume akiwa mfupi alfu maisha yakiwa hayajamkaa poa hiki kizazi cha 2018+ watamsosora sana
ππ watu wakorofiImeisha hiyo mkuu!, uliza mkeo vizuri kama kote kwenu na kwao kuna mbegu ndefu, mwambie akueleze malaika wa watu ufupi ametoa kwanani!.. ikibidi nialike nione unavyomuhoji mkuu...π