Mkereketwa_Huyu JF-Expert Member Joined Feb 19, 2011 Posts 10,586 Reaction score 7,976 Jun 15, 2025 #141 PSL god said: Steve nyerere ana onekana mrefu una uhakika ni 4'9 ft? Click to expand... Na hiyo 4'9 labda nimempendelea tu, ni kambilikimo mno....yaani jamaa ana uluguru flani hivi ndani ya damu yake.
PSL god said: Steve nyerere ana onekana mrefu una uhakika ni 4'9 ft? Click to expand... Na hiyo 4'9 labda nimempendelea tu, ni kambilikimo mno....yaani jamaa ana uluguru flani hivi ndani ya damu yake.
Z Z-ANTO Senior Member Joined Sep 11, 2020 Posts 195 Reaction score 273 Jun 15, 2025 #142 Huyo atarefuka, miaka 17 bado....subiri afike 20 mpaka 23 .....
J Jasiri Haachi Asili Member Joined Apr 1, 2025 Posts 53 Reaction score 35 Jun 15, 2025 #143 Dr wa Manesi said: Dirisha linaanza kozi ya nne tu.....na kozi nne maana yake ni tofali nne. Pamoja na hayo lakini mwanangu huyu aliye kidato Cha tatu hawezi kufika. Ni mfupi kweli. Vipi jamani, atarefuka baadae?!!! Ana m Click to expand... Kozi nne za Kulaza au Kusimamisha? Fafanua mkuu.
Dr wa Manesi said: Dirisha linaanza kozi ya nne tu.....na kozi nne maana yake ni tofali nne. Pamoja na hayo lakini mwanangu huyu aliye kidato Cha tatu hawezi kufika. Ni mfupi kweli. Vipi jamani, atarefuka baadae?!!! Ana m Click to expand... Kozi nne za Kulaza au Kusimamisha? Fafanua mkuu.