Mtoto Warda apatikana kwenye Kijiji cha chamanzi, Dar es Salaam

Waliomtorosha wakamficha hukowachukuliwe hatuwa kali sana.

Kwa maisha ya siku hizi ulezi pasua kichwa unaanza mtoto akiwa na mika 13 unaenda mpaka 21, ni umri mgumu sana kwa walezi.

Mwenyezi Mungu awafanyie wepesi.
 
Matusi yako nimeyasikia, hata kama hunipendi tena lakini heshimu uanaume wangu ulionyoka na utu wangu pia.

Nimeongea kwa msisitizo...
Imebidi nirudi page one.....sikuelewa Kwa kweli...my sincere apologies
 
Matusi yako nimeyasikia, hata kama hunipendi tena lakini heshimu uanaume wangu ulionyoka na utu wangu pia.

Nimeongea kwa msisitizo...
Kumbe hata wewe ni mwanamme? Utanisaamehe sana, mimi siku zote kwa hiyo ID yako nilikuwa najuwa mwanamke.
Leo nimefahamu.
 
LA muhimu kukapiga dudu huku unakua mkali kukakazania kasome
 
Watoto wanakimbia makwao tangu zamani. Siku hizi mtandao ndiyo unafanya matukio kama haya yajulikane sehemu nyingi lakini siyo kitu kipya.
 
Af jiji la Dar es salaam haliwezi kuwa na kitu kinaitwa "kijiji", af Chamaz unaifaham vizuri?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…