Mtoto Warda apatikana kwenye Kijiji cha chamanzi, Dar es Salaam

Mtoto Warda apatikana kwenye Kijiji cha chamanzi, Dar es Salaam

Zombie S2KIZZY

JF-Expert Member
Joined
Mar 15, 2021
Posts
826
Reaction score
1,622
Hivi ni kitu gani kinatokea kwa hawa watoto siku hizi mpaka wanakimbia makwao?
---
1698510586620.png
Mtoto Warda Mohammed (15) aliyekuwa mwanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Nyumbu iliyopo Kibaha mkoani Pwani aliyepotea tangu Aprili 19, 2023, amepatikana.

Usiku wa kuamkia leo Oktoba 28, 2023, GLOBAL TV imepokea simu kuwa Warda ameonekana Chamazi nje kidogo ya Jiji la Dar.

GLOBAL TV imefunga safari na kwenda kumshuhudia Warda na kumtambua kuwa kweli ni yeye.

Source : Globaltv
 
Wazazi tupunguze ubusy wa kazi, watoto watatushinda kuwalea.

Yaani mtoto miaka hata 12 hajafika anakuwa ameshajua utamu wa mbo**o hadi kutoroshwa kwa Mwanaume 🙌
Malizia jengo tuje tulizindue na hawa wapoteaji mkuu
 
Back
Top Bottom