Mtozi Alloyce Nyanda: Kuna watu wanamtumia Swai kumchafua Sabaya?

Wewe bwege nini.
Mtu anazungukia biashara za watu usiku kudai kodi, na wewe unaona poa tu.
 
Zipo CCTV nyingine Sabaya anavamia duka la nguo Arusha na inaonekana walivyojichotea pesa. Huyu hafai kwa serikali ya Mh. Rais Samia Suluhu Hassan.
 
Sabaya majuzi katika kumfanyizia Duwani wa Sombetini baada ya kuvamia duka kama afisa wa TRA na kutaka kupewa fedha.
 
Maccm yote hayafai
 
Sabaya hafai hata kuwepo ofisini kwa dakika moja
 
Ndugu yangu ukitaka kumtetea sabaya utaishia kuchafuka mwenyewe. Hata umtoe swai katika masuala aliyowahi kufanya sabaya ni mengi. Muulize nandy alichofanyiwa pale weruweru mountain lodge usiku sabaya akiwa na genge lake.
Mhuni sana huyo dogo
 
Hii haina tofauti na uporaji

Ova
 
Kumtetea Sabaya inabidi uwe na akili za muuaji anayekula ugoro puani na mdomoni.

Ona video hii Sabaya akivamia dukani kwa mfanyabiashara Arusha akiwa na kundi lake la wakimtesa msaidizi wa dukani akilazimishwa aseme boss yuko wapi ili akamatwe atishiwe atoe pesa.
Your browser is not able to display this video.
 
Hao ni kati ya baadhi ya mawakala wa uchawi wa mchana juu ya Wananchi. Sasa mbeleke ya kubebea uchawi wao imekatika. Sijui watabebwaaa vipi. Hawa tupa kule wakachunge ngombe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…