Mtozi Alloyce Nyanda: Kuna watu wanamtumia Swai kumchafua Sabaya?

Pointless....
 
Siku zote JF huwa inatoa ukweli wa jambo...haiwezekani watu karibia wote wanasema ubovu wa Sabaya..ki ufupi atakuwa si mtu mwema
 
Mama Mama SSH pitia uzi huuu na ikikupendeza huyu jambazi umpumzishe anapostahili huku kesi zikifunguliwa juu yake.
Kumbe machozi yake kwa msiba wa JIWE yalikuwa na sababu nyingi! Kilangila.
 
Duu huyu ni Jambazi zaidi ya Jiwe
 
Anyways ila hata wakifanikiwa kumuondoa Sabaya hapo hai ipo haja ya kudhibiti biashara ya magendo toka nchi jirani.
 
Zipo CCTV nyingine Sabaya anavamia duka la nguo Arusha na inaonekana walivyojichotea pesa. Huyu hafai kwa serikali ya Mh. Rais Samia Suluhu Hassan.
Arusha ndio ilikua sehemu yake kuu ya kufanya ujambazi na kikosi chake hata cctv za bank zitaonyesha wakiwa wawazi si walikua wanaenda na mteja bank kuchukua rushwa huyo jambazi mkubwa kabisa huyo...
 
Ujinga mtupu.
They are lucky to be alive.
Hao viongozi wakafanye hiyo upuuzi sehemu kama Mbeya au Iringa, nakuhakikishia mtu anakula bullet na anajisalimisha polisi.
Mwamwindi legacy.
Hao watu wafundishwe uongozi, kuna red line hata nani hawezi cross.
 
Sabaya mwisho wake umefika alikuwa hovyo mno!
 
Inaonekana sabaya ni shemeji yako na unaonekana mtu wa ajabu sana mbele ya wanaJF kwa kulitetea jangili Ole Sabaya.Kulia Kule baada ya jangili kuu kufa bila shaka alikuwa anajua ujangili wake utaisha kwa kuwa jangili kuu lililokuwa linamlinda halipo tena
 
Acha fiksi mkuu mbona hatujawahi kusikia mtu kala bullet pande hizo ukiachana na lile la mwamwindi la miaka ya 70
 
Swai ni ukoo bora utumie majina yake yote. Asante
 
SABAYA UMEHARIBU SANA, HATA HIZI ACCOUNT UNAZOTUMIA KUJISAFISHA NI ZAKO SABAYA ZIPO HUMU KIMKAKATI, UKIZUNGUMZWA NA WATU KWA MEMA BASI MBELENI HUWA KWEMA.....ONA MAMA SAMIA-RAIS WA JMT ALIZUNGUMZWA VYEMA NA WALIMWENGU ONA LEO ALIPO, NA SIO HAPO TU ANAELEKEA AFRICA NA ULIMWENGUNI WEE MWENYEWE UTAONA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…