Mtu akiandika hivi huwa najisikia hasira

Mtu akiandika hivi huwa najisikia hasira

Mimi sipendi watu watumie maneno:
Jomoni
Tyu
Xaxa..yani hiyo "sasa" inakuja kama mtu anapiga msasa vile.
Pow
Pwax
K
P
enx
 
Wapo wengi saaaana

Ukiona hivi ujue hawasomagi magazeti kwa asilimia kubwa, waandishi wa magazeti ni msaada mkubwa sana kuweka kiswahili vzr

Na Waalimu wa zamani walikuwa wapenzi wakubwa wa kusoma magazeti

Sasa mtu atakuaje maneno sahihi wakati yuko busy kuchat na mxhkaj na msela pamoja na youtube??
Ila usikutane na wale editors mbalimbali wa hizi accounts mbalimbali ya kupashana habari kwenye hizi social media zetu, utakereka bure tu.
 
"Lxm" ,"vxr", "P" na "K". (Siyapendi maneno hayo kwa ujumla)
 
Mimi huwa nahisi kama kuna kitu kinanichoma kwenye moyo. Naumia kabisa yani. Sipendi makosa ya ajabu ajabu kwenye maandishi.
Wale wa R na L, A na H, Dh na Z
 
Mimi huwa nahisi kama kuna kitu kinanichoma kwenye moyo. Naumia kabisa yani. Sipendi makosa ya ajabu ajabu kwenye maandishi.
Wale wa R na L, A na H, Dh na Z
Tuelekezaneni tu, wengine hatukubahatika kupata shule vyema, we learn from experience!
 
Ambao ni shule kidogo tunaelewa ila mtu hawezi maliza mpaka form four bado anaandika kama mtoto wa nursery
mazingira boss, form four leaver kuandika kwa ufasaha itamchukua muda sana. Hii ni kutokana na aina ya watu anaowasiliana nao.
 
Mtu anakwambia:
"Poyeeee" "jomoni"
Unatamani uingie kwenye keyboard
 
wewe hausemi kweli
sijaenda shule jana
shelehe ya alusi
 
kua= kuwa
hua= huwa
hivo= hivyo
wanaelemu= wana elimu
anatabia= ana tabia
anahaki= ana haki
nao wasiliana = ninaowasiliana

na kadhalika.
 
Back
Top Bottom