Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ila usikutane na wale editors mbalimbali wa hizi accounts mbalimbali ya kupashana habari kwenye hizi social media zetu, utakereka bure tu.Wapo wengi saaaana
Ukiona hivi ujue hawasomagi magazeti kwa asilimia kubwa, waandishi wa magazeti ni msaada mkubwa sana kuweka kiswahili vzr
Na Waalimu wa zamani walikuwa wapenzi wakubwa wa kusoma magazeti
Sasa mtu atakuaje maneno sahihi wakati yuko busy kuchat na mxhkaj na msela pamoja na youtube??
Tuelekezaneni tu, wengine hatukubahatika kupata shule vyema, we learn from experience!Mimi huwa nahisi kama kuna kitu kinanichoma kwenye moyo. Naumia kabisa yani. Sipendi makosa ya ajabu ajabu kwenye maandishi.
Wale wa R na L, A na H, Dh na Z
Tuelekezaneni tu, wengine hatukubahatika kupata shule vyema, we l;earn from experience!
mimi naelewa ila kuwaonya ni muhimu!Ila tusiache kuwaonya mm sielewi kabisa ukiniandikia hvo..
mazingira boss, form four leaver kuandika kwa ufasaha itamchukua muda sana. Hii ni kutokana na aina ya watu anaowasiliana nao.Ambao ni shule kidogo tunaelewa ila mtu hawezi maliza mpaka form four bado anaandika kama mtoto wa nursery
Ahahah haya bwana.Na wale wanaume wanaongea wanakutilia bhana! Hahahaa