Englishlady
JF-Expert Member
- Apr 11, 2013
- 2,734
- 3,655
Hata kwa wanyama ni hivyo angalia hata kuku kifaranga sio wake atakavyokuwa mkaliNdio maana Mimi hupenda mtoto alelewe na mamake atleast afikishe umri wa kujitambua ka fourtenn hivi ndo aende kwingine, Sasa wanaume mnazaa hovyo mnategemea Mana mwingine ampende mwanao huo ni ukichaa mkubwa, acheni kutesa watoto, kikawaida binadamu wenye upendo wa kweli wameisha, na hata ukiwa na upendo huwezi linganisha na upendo wa mtoto wako tumboni lazima tu ubague, I prefer kila mtu alelee mtoto had awe mkubwa, kila mtu ashinde mechi nyumbani kwake.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Chai za yule mshauri wa mahusiano
Iddi Makengo
Yaani mtoto wa miaka 5 ajue kazi zote, ajue kuomba msamaha.....ha ha ha ha atakuwa alizaliwa mbinguni huyu.
Ni kweli lakini watu hu force Sana siwezi kuwa na watoto nilazimishe mpenzi wangu awapende watoto wangu hyo ni tatizo.Hata kwa wanyama ni hivyo angalia hata kuku kifaranga sio wake atakavyokuwa mkali
Mwanamke wa hivyo ni kichaa ila mwanaume nae anashindwa kujua mwanae analelewaje na huyo shetani...mimi nikikuta mwanangu hata na mkwaruzo lazima useme nini kimempataKILA NIKIMUONA MTOTO WA MUME WANGU NAHISI KUCHANGANYIKIWA!
Kaka naomba tu unisaidie maana najikuta nashindwa haya maisha. Mimi nimeolewa ndoa yangu ina miezi minne sasa. Wakati nakutana na huyu mchumba wangu aliniambia kabisa kuwa ana mtoto ambaye amezaa na mwanamke mwingine, alishaachana na mwanamke na kaolewa hivyo yeye anaishi na mtoto wake kwani hataki mtoto wake kulelewa na Baba wa kambo.
Basi mimi sikua na shida, nilikua naenda kwake, namuona mtoto lakini wakati huo hata sikuona kuwa ni tatizo kwakua nilikua bado sijaolewa. Lakini Kaka baada ya kuingia kwenye ndoa, kuanza sasa kuishi na yule mtoto ndiyo sijui naonaje, mpaka nahisi kuchanganyikiwa. Katoto ni kakike, lakini ana sura ya Baba yake, yaani sijui nikuambieje Kaka, sio kwaba ni mtoto mabya, siwezi kusema hivyo lakini hatuendani naye kabisa.
Rafiki zangu wakija kunisalimia inabidi niseme tu ni mtoto wa ndugu yake na mume wangu lakini si mtoto wa mume wangu. Mtoto ana miaka mitano, ana akili, kachangamfu anajua kila kazi na ananiheshimu. Yaani kangekua katoto kazuri ningekapenda balaa kwani kana heshima sijui nikuambieje Kaka, lakini shida nashindwa, nikimuangalia wakati mwingine najiikuta na hasira tu nampiga hata bila sababu.
Hali hiyo inaniumiza kwani mwisho kanakuja kuniomba msamaha wakati hata hana kosa. Yaani kuna vitu vingine najikuta nagomba mpaka basi, nakua tu na chuki na mtoto. Wakati mwingine namfanyia visa tu ili kumpiga, mfano juzi nilimuwekea chakula kingi makusudi ili aache kula, basia liacha nikajikuta nampiga kuwa anachezea chakula basi nikamlazimisha kula na kweli alikula lakini alishindwa hata kunyanyuka yaani anapepesukapepesuka ila alimaliza na kuosha vyomboa akaosha.
Nilijisikia vibaya kwani sikupata faida yoyote, hali hii inanifanya nakua na kisirani, nakua mtu wa hasira hata kwa mume wangu. Sababu ya kuja kwako Kaka ni hivi, nataka kuongea na mume wangu amuondoe huyu mtoto ampeleke kwa Bibi yake. Mume wangu wazazi wake wamefariki lakini ana ndugu wengine, kuna Baba mdogo wake na wengine tu ambao wana uwezo.
Sio kama si mtaki moja kwa moja lakini aondoke tu ili niwe sawa maana nahisi naweza kumuua huyu mtoto. Shida ni kwamba mume wangu anampenda sana mtoto na kwakua yeye alilelewa na ndugu baada ya wazazi wake kufariki basi anasema kuwa mwanae hawezi kulelea na mtu mwingine yoyote na aliniambia kabla hata hatujaanza mahusiano, nisaidie kaka nifanye nini maana nahisi kuchanganyikiwa.
Je kama ni wewe ndio unaombwa ushauri kama huu, utamjibu nini, utamuacha salama kweli?
Mkuu wanaume hatuzai maana hatuendi leba, sema wanawake wanazaa hovyo.Ndio maana Mimi hupenda mtoto alelewe na mamake atleast afikishe umri wa kujitambua ka fourtenn hivi ndo aende kwingine, Sasa wanaume mnazaa hovyo mnategemea Mana mwingine ampende mwanao huo ni ukichaa mkubwa, acheni kutesa watoto, kikawaida binadamu wenye upendo wa kweli wameisha, na hata ukiwa na upendo huwezi linganisha na upendo wa mtoto wako tumboni lazima tu ubague, I prefer kila mtu alelee mtoto had awe mkubwa, kila mtu ashinde mechi nyumbani kwake.
Inashangaza sana mtu kumchukia mtoto bila sababu. Huyo ni shetani kabisa na akiachiwa anaweza hata kuuaKuna wanawake wana roho za ajabu Sana mkuu.
Nyie mnazalilisha hovyo hafu mnakuja tesa wake wa ndoa na mitoto yenu ya uzinifu huko, mikorofi haisikii dawa ni kipigo tu mpaka ujuteMkuu wanaume hatuzai maana hatuendi leba, sema wanawake wanazaa hovyo.
Wewe una roho mbaya na kibinafsi sana. Sijui kama hata nduguzo unaelewana naoKila mtu apende mtoto wake kwanini nipendemtoto wa mwanamke mwenzangu, hafu huyo mwanamke Hana upendo unatoaje mtoto wako akelelewe na mwanamke mwingine wakati uko hai?
Bwana wewe mnazaa hovyo kuja kutesa wengine. Bora niitwe tu mubaya siwezi fake unafikiri na Mimi nikizaa hovyo later nianze force partner wangu awapende si wehu huo. Nyie wewe tu huwa hamtaki watoto wa wake zenu.Wewe una roho mbaya na kibinafsi sana. Sijui kama hata nduguzo unaelewana nao
Hapana siyo mbaya Wa sura ila kwa maelezo yake anapatwa na wivu uliopitiliza kutokana na huyo mtoto kufanana sana na babake. Hili shetani tu lililo ktk umbo la binadamuYaani mtoto anafanana na baba yake halafu unamuchukua?
Mtoto kachukua sura ya baba yake na baba yake ni mbaya wa sura(nilivyoelewa mimi)
Dah!!nimejikutana napatwa na hasira niliposoma hapo kwenye kumupa chakula kingi ili ashindwe kukimaliza umupige...
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Chai za yule mshauri wa mahusiano
Iddi Makengo
Yaani mtoto wa miaka 5 ajue kazi zote, ajue kuomba msamaha.....ha ha ha ha atakuwa alizaliwa mbinguni huyu.
Umezungumza mengi mazuri lakini dhamiri yako haikusuti kuwa nafanya dhambi kutesa kiumbe kisicho na hatia halafu kila jumapili unaenda kanisani?Kupenda naweza je huo upendo utakuwa sawa na wamama yake kweli?
Pia siwezi kutesa mtoto wa mtu Mimi Sasa kuliko nisimpe care ya mamake arudi kwa mamake, binadamu tu wabinafsi Ila watu wanaozaa bila mpango matokeo huwa kutesa watoto. Hafu huyo mtoto five year's too young anafanya makubwa hapo anapigwa kuwa intimidated abused na hawezi kusema anaogopa kuja kupigwa nyie wanaume wenyewe mkiwa na wake hamna SAUTi.
Mwanamke anaweza sema mlete mtoto wewe ukiwa hapo atajifanya kumpenda ukiondoka mtoto anateswa mpaka basi, na mwanamke wako akishazaa ndio kabisa huyo wako wa nje ataisoma number.
Sara mwenyewe kwenye biblia yalimshinda akamfukuza hajira ije kuwa watu wa Sasa wasio na upendo.
Mimi kila mtu alee mtoto wake akijitambua kufanya mwenyewe aje nimeshuhudia mateso ya watoto wengi na hivi wanaume, wanawake, wanazaa hovyo mwisho watoto wanateseka.
Namlaumu hyo mwanaume kuzaa hovyo na kushindwa kumpeleka mtoto hata kwa Bibi ake
Hukustahili kuolewa.KILA NIKIMUONA MTOTO WA MUME WANGU NAHISI KUCHANGANYIKIWA!