Nyie mnaofungua zipu hovyo ndo hamjielewi kila siku nashuhudia watoto wakiteseka kulelewa na wazazi wasio wao, na nyie mlivo wajinga mnaforce watoto wenu walelewe na watu wakuja unafikri ana uchungu?N roho mbaya tu zinawasumbua
hivi cariha huyo mtt anakosa gan hadi umtese na mara nyingi sisi wanaume hatufichi mtu anakwambia ctaki kuowa kwa kuhofia mwanangu atateseka ww unaaidi utachukua nafac ya mamake tena wkt unataka kuingia kila cku unamuulizia na zawadi unampa ukishaingia tu unaanza kumtesa mtt huwo cuwaji km nimakosa ni ya bb yake co mttNyie mnaofungua zipu hovyo ndo hamjielewi kila siku nashuhudia watoto wakiteseka kulelewa na wazazi wasio wao, na nyie mlivo wajinga mnaforce watoto wenu walelewe na watu wakuja unafikri ana uchungu?
Duu !KILA NIKIMUONA MTOTO WA MUME WANGU NAHISI KUCHANGANYIKIWA!
Kaka naomba tu unisaidie maana najikuta nashindwa haya maisha. Mimi nimeolewa ndoa yangu ina miezi minne sasa. Wakati nakutana na huyu mchumba wangu aliniambia kabisa kuwa ana mtoto ambaye amezaa na mwanamke mwingine, alishaachana na mwanamke na kaolewa hivyo yeye anaishi na mtoto wake kwani hataki mtoto wake kulelewa na Baba wa kambo.
Basi mimi sikua na shida, nilikua naenda kwake, namuona mtoto lakini wakati huo hata sikuona kuwa ni tatizo kwakua nilikua bado sijaolewa. Lakini Kaka baada ya kuingia kwenye ndoa, kuanza sasa kuishi na yule mtoto ndiyo sijui naonaje, mpaka nahisi kuchanganyikiwa. Katoto ni kakike, lakini ana sura ya Baba yake, yaani sijui nikuambieje Kaka, sio kwaba ni mtoto mabya, siwezi kusema hivyo lakini hatuendani naye kabisa.
Rafiki zangu wakija kunisalimia inabidi niseme tu ni mtoto wa ndugu yake na mume wangu lakini si mtoto wa mume wangu. Mtoto ana miaka mitano, ana akili, kachangamfu anajua kila kazi na ananiheshimu. Yaani kangekua katoto kazuri ningekapenda balaa kwani kana heshima sijui nikuambieje Kaka, lakini shida nashindwa, nikimuangalia wakati mwingine najiikuta na hasira tu nampiga hata bila sababu.
Hali hiyo inaniumiza kwani mwisho kanakuja kuniomba msamaha wakati hata hana kosa. Yaani kuna vitu vingine najikuta nagomba mpaka basi, nakua tu na chuki na mtoto. Wakati mwingine namfanyia visa tu ili kumpiga, mfano juzi nilimuwekea chakula kingi makusudi ili aache kula, basia liacha nikajikuta nampiga kuwa anachezea chakula basi nikamlazimisha kula na kweli alikula lakini alishindwa hata kunyanyuka yaani anapepesukapepesuka ila alimaliza na kuosha vyomboa akaosha.
Nilijisikia vibaya kwani sikupata faida yoyote, hali hii inanifanya nakua na kisirani, nakua mtu wa hasira hata kwa mume wangu. Sababu ya kuja kwako Kaka ni hivi, nataka kuongea na mume wangu amuondoe huyu mtoto ampeleke kwa Bibi yake. Mume wangu wazazi wake wamefariki lakini ana ndugu wengine, kuna Baba mdogo wake na wengine tu ambao wana uwezo.
Sio kama si mtaki moja kwa moja lakini aondoke tu ili niwe sawa maana nahisi naweza kumuua huyu mtoto. Shida ni kwamba mume wangu anampenda sana mtoto na kwakua yeye alilelewa na ndugu baada ya wazazi wake kufariki basi anasema kuwa mwanae hawezi kulelea na mtu mwingine yoyote na aliniambia kabla hata hatujaanza mahusiano, nisaidie kaka nifanye nini maana nahisi kuchanganyikiwa.
Je kama ni wewe ndio unaombwa ushauri kama huu, utamjibu nini, utamuacha salama kweli?
Mimi binafsi siwezi tesa mtoto wa mtu na tangia mwanzo tunawekana wazi kabisa mwanao akae kwa mamake Hadi ajitambue akifika hata secondary sio kuniletea Mimi mtoto mdogo naweza nisimtese Ila mama aliye mzaa bado ni best mom na atakuwa na uchungu, hata wewe huwezi mpenda mtoto asio wako ka utakavopenda damu yako, hata wadungu hauwezi kuwa wazi.hivi cariha huyo mtt anakosa gan hadi umtese na mara nyingi sisi wanaume hatufichi mtu anakwambia ctaki kuowa kwa kuhofia mwanangu atateseka ww unaaidi utachukua nafac ya mamake tena wkt unataka kuingia kila cku unamuulizia na zawadi unampa ukishaingia tu unaanza kumtesa mtt huwo cuwaji km nimakosa ni ya bb yake co mtt
Hapa mantiki IPO katika utu ukiachana na mtoto kapatikana kwa njia IPI!!! Mtoto hana kosa kwanini umsulubu???kujitafutia dhambiiii za bureee na laana bila sababu za msingiNyie mnaofungua zipu hovyo ndo hamjielewi kila siku nashuhudia watoto wakiteseka kulelewa na wazazi wasio wao, na nyie mlivo wajinga mnaforce watoto wenu walelewe na watu wakuja unafikri ana uchungu?
Ukweli Maneno unayoyasema roho imenima hata cjayamaliza kusoma unaroho ya kishetani sana we mwanamke ipo siku utamuua huyo mtoto yani kwanza haendani na nyie ki VIP wakat huo ww hata hujazaa unajuaje mungu akikupa kilema na utamnyanyapaa kama unavyo Fanya?KILA NIKIMUONA MTOTO WA MUME WANGU NAHISI KUCHANGANYIKIWA!
Kaka naomba tu unisaidie maana najikuta nashindwa haya maisha. Mimi nimeolewa ndoa yangu ina miezi minne sasa. Wakati nakutana na huyu mchumba wangu aliniambia kabisa kuwa ana mtoto ambaye amezaa na mwanamke mwingine, alishaachana na mwanamke na kaolewa hivyo yeye anaishi na mtoto wake kwani hataki mtoto wake kulelewa na Baba wa kambo.
Basi mimi sikua na shida, nilikua naenda kwake, namuona mtoto lakini wakati huo hata sikuona kuwa ni tatizo kwakua nilikua bado sijaolewa. Lakini Kaka baada ya kuingia kwenye ndoa, kuanza sasa kuishi na yule mtoto ndiyo sijui naonaje, mpaka nahisi kuchanganyikiwa. Katoto ni kakike, lakini ana sura ya Baba yake, yaani sijui nikuambieje Kaka, sio kwaba ni mtoto mabya, siwezi kusema hivyo lakini hatuendani naye kabisa.
Rafiki zangu wakija kunisalimia inabidi niseme tu ni mtoto wa ndugu yake na mume wangu lakini si mtoto wa mume wangu. Mtoto ana miaka mitano, ana akili, kachangamfu anajua kila kazi na ananiheshimu. Yaani kangekua katoto kazuri ningekapenda balaa kwani kana heshima sijui nikuambieje Kaka, lakini shida nashindwa, nikimuangalia wakati mwingine najiikuta na hasira tu nampiga hata bila sababu.
Hali hiyo inaniumiza kwani mwisho kanakuja kuniomba msamaha wakati hata hana kosa. Yaani kuna vitu vingine najikuta nagomba mpaka basi, nakua tu na chuki na mtoto. Wakati mwingine namfanyia visa tu ili kumpiga, mfano juzi nilimuwekea chakula kingi makusudi ili aache kula, basia liacha nikajikuta nampiga kuwa anachezea chakula basi nikamlazimisha kula na kweli alikula lakini alishindwa hata kunyanyuka yaani anapepesukapepesuka ila alimaliza na kuosha vyomboa akaosha.
Nilijisikia vibaya kwani sikupata faida yoyote, hali hii inanifanya nakua na kisirani, nakua mtu wa hasira hata kwa mume wangu. Sababu ya kuja kwako Kaka ni hivi, nataka kuongea na mume wangu amuondoe huyu mtoto ampeleke kwa Bibi yake. Mume wangu wazazi wake wamefariki lakini ana ndugu wengine, kuna Baba mdogo wake na wengine tu ambao wana uwezo.
Sio kama si mtaki moja kwa moja lakini aondoke tu ili niwe sawa maana nahisi naweza kumuua huyu mtoto. Shida ni kwamba mume wangu anampenda sana mtoto na kwakua yeye alilelewa na ndugu baada ya wazazi wake kufariki basi anasema kuwa mwanae hawezi kulelea na mtu mwingine yoyote na aliniambia kabla hata hatujaanza mahusiano, nisaidie kaka nifanye nini maana nahisi kuchanganyikiwa.
Je kama ni wewe ndio unaombwa ushauri kama huu, utamjibu nini, utamuacha salama kweli?
Nimejikuta naumia roho mnoo, huyo mwanamke sijui ana roho gani, kama anaona hawezi kuishi na huyo mtoto aondoke yeye ila sio kumkosesha mtoto mapenzi na haki ya kulelewa na baba yakeKILA NIKIMUONA MTOTO WA MUME WANGU NAHISI KUCHANGANYIKIWA!

Na kwanini baba u force mtoto wako apendwe na mtu asiye mamake, hivi vtu vya ku force ndo huwaumiza watoto, watu wazima hamjali hisia za mtoto, zaidi ya ubinafsi tuHapa mantiki IPO katika utu ukiachana na mtoto kapatikana kwa njia IPI!!! Mtoto hana kosa kwanini umsulubu???kujitafutia dhambiiii za bureee na laana bila sababu za msingi
Ningekuwa mm ningemzaba makofi maana tayar ameshas3ma asije akakaua huyu mama ana roho ya kifiraunKILA NIKIMUONA MTOTO WA MUME WANGU NAHISI KUCHANGANYIKIWA!
Kaka naomba tu unisaidie maana najikuta nashindwa haya maisha. Mimi nimeolewa ndoa yangu ina miezi minne sasa. Wakati nakutana na huyu mchumba wangu aliniambia kabisa kuwa ana mtoto ambaye amezaa na mwanamke mwingine, alishaachana na mwanamke na kaolewa hivyo yeye anaishi na mtoto wake kwani hataki mtoto wake kulelewa na Baba wa kambo.
Basi mimi sikua na shida, nilikua naenda kwake, namuona mtoto lakini wakati huo hata sikuona kuwa ni tatizo kwakua nilikua bado sijaolewa. Lakini Kaka baada ya kuingia kwenye ndoa, kuanza sasa kuishi na yule mtoto ndiyo sijui naonaje, mpaka nahisi kuchanganyikiwa. Katoto ni kakike, lakini ana sura ya Baba yake, yaani sijui nikuambieje Kaka, sio kwaba ni mtoto mabya, siwezi kusema hivyo lakini hatuendani naye kabisa.
Rafiki zangu wakija kunisalimia inabidi niseme tu ni mtoto wa ndugu yake na mume wangu lakini si mtoto wa mume wangu. Mtoto ana miaka mitano, ana akili, kachangamfu anajua kila kazi na ananiheshimu. Yaani kangekua katoto kazuri ningekapenda balaa kwani kana heshima sijui nikuambieje Kaka, lakini shida nashindwa, nikimuangalia wakati mwingine najiikuta na hasira tu nampiga hata bila sababu.
Hali hiyo inaniumiza kwani mwisho kanakuja kuniomba msamaha wakati hata hana kosa. Yaani kuna vitu vingine najikuta nagomba mpaka basi, nakua tu na chuki na mtoto. Wakati mwingine namfanyia visa tu ili kumpiga, mfano juzi nilimuwekea chakula kingi makusudi ili aache kula, basia liacha nikajikuta nampiga kuwa anachezea chakula basi nikamlazimisha kula na kweli alikula lakini alishindwa hata kunyanyuka yaani anapepesukapepesuka ila alimaliza na kuosha vyomboa akaosha.
Nilijisikia vibaya kwani sikupata faida yoyote, hali hii inanifanya nakua na kisirani, nakua mtu wa hasira hata kwa mume wangu. Sababu ya kuja kwako Kaka ni hivi, nataka kuongea na mume wangu amuondoe huyu mtoto ampeleke kwa Bibi yake. Mume wangu wazazi wake wamefariki lakini ana ndugu wengine, kuna Baba mdogo wake na wengine tu ambao wana uwezo.
Sio kama si mtaki moja kwa moja lakini aondoke tu ili niwe sawa maana nahisi naweza kumuua huyu mtoto. Shida ni kwamba mume wangu anampenda sana mtoto na kwakua yeye alilelewa na ndugu baada ya wazazi wake kufariki basi anasema kuwa mwanae hawezi kulelea na mtu mwingine yoyote na aliniambia kabla hata hatujaanza mahusiano, nisaidie kaka nifanye nini maana nahisi kuchanganyikiwa.
Je kama ni wewe ndio unaombwa ushauri kama huu, utamjibu nini, utamuacha salama kweli?
Na kwanini baba u force mtoto wako apendwe na mtu asiye mamake, hivi vtu vya ku force ndo huwaumiza watoto, watu wazima hamjali hisia za mtoto, zaidi ya ubinafsi tu
I think there is misconception between us, Mimi napinga ukatili wa aina yoyote sio watoto hata watu wengine wazima walio vulnerable kwa jamii.Anyway point yako nailewa lakini naomba nikupe changamoto moja,imagine wewe una watoto umezaa na mumeo/mwanaume yoyote yule,
ya mungu ni mengi ikatokea ukafa wale watoto ukawaacha bila mama,kwa comments zako hizi unafikiri/ungependa watoto wako wafanyiwe ukatili kwakua hawalelewi na mama yao aliewazaaa???
Binafsi nazungumzia utu,mtoto hana kosa lolote why umtese???? Utakuta mdada mashallah ni mzurii ila anaroho mbaya kama nungunungu!!
Ndio maana Mimi hupenda mtoto alelewe na mamake atleast afikishe umri wa kujitambua ka fourtenn hivi ndo aende kwingine, Sasa wanaume mnazaa hovyo mnategemea Mana mwingine ampende mwanao huo ni ukichaa mkubwa, acheni kutesa watoto, kikawaida binadamu wenye upendo wa kweli wameisha, na hata ukiwa na upendo huwezi linganisha na upendo wa mtoto wako tumboni lazima tu ubague, I prefer kila mtu alelee mtoto had awe mkubwa, kila mtu ashinde mechi nyumbani kwake.