Mtu akikuomba ushauri kwa jambo kama hili utamjibu nini?

Roho mbaya[emoji2957][emoji2957][emoji2957][emoji2957][emoji2957][emoji2957]



Sasa unakubali kuolewa kwanini
Ni heri useme roho mbaya tu lakini Mimi nakutana na wewe hayo ya watoto hayanihusu na Mimi nikiwa na watoto hayakuhusu tusipeane mizigo, ka ulizaa ulitegemea Nani akulelee kwa Zama hizi za watu kukimbizana kutafta hela mie nikae tu naelea mtoto wa mwingine arrrgh.
 
Utaenda kuwalishaa mawee??? Huyo mwanaume mwingine unadhani atakubali kubeba mizigo yakoo[emoji23][emoji23] Sema kama una kazii usingle mazaa unauwezaa na huwa mnakuwa na kiburiii mkiwa na kikazii tu oohoo

Eti haachi watoto nyuma?sasa unajiuliz watoto wana baba yao na si ajabu ana uwezo,wewe unawang’ang’ania

Kitendo tu cha kubeba mimba miezi tisa,kitendo cha kulea mtoto akiwa mdogo hadi anakua ni mzigo tosha ila jitu kisa lina kazi na limeambiwa ukiwa single maza,una kazi na una watoto unaolea mwenyewe unakuwa super woman basi unaona jitu linavyoteseka na watoto ila mradi tu lionekane limetelekezwa na baba wa watoto linalea lenyewe na likimekuwa strong woman

Nawaambiaga kila siku watu hawa super woman ni wana stress sana tena za kujitakia kabisa ni vile tu wamelewa sifa zA ustrong woman..

Mtoto ana baba unataka ufanye kila kitu ili iweje sasa???ndo mtoto amchukie baba ake au ndo kumzaa umeona haitoshi ......no wonder wanaume wamekuwa wanapuuzia matunzo ya watoto wao..
 
Ustrong woman ni sifaa ya Kijinga sana wanayojazwa Single mamaaa...!!
 
Utaondoka wewe mtoto atabaki au lah utaingia jela mtoto ataenda kwenye nyumba ya milele. Nakuapia mbele za Muumba usipobadilika hayo mawili lazima yatokee
 
Nimekuelewa mantiki yako cariha

But unaonekana una wivuu kama wote [emoji851]
 
Nimekuelewa mantiki yako cariha

But unaonekana una wivuu kama wote [emoji851]
[emoji23][emoji23]Sina wivu Mimi but napenda ustawi wa watoto nime experience so sishauri mtoto kulelewa na watu Baki. Na Kati ya vitu Sina wivu ni mapenzi.
 
Hii kitu kuna muda nawzaga sana na inaniumizaga sana japokuwa bado sijafikwa na ishu kama hii lakini kiukweli kama mimi nipo hai na sina tatzo lolote basi sitokubali mtoto wangu akalelewe na mtu mwingine ni bora nipoteze kila kitu.
Kiukweli unavyompenda na kumlea mwanao sio kila mtu anaweza kufanya hvyo kwa mwanao sijui nielezeje lakini kwa kifupi damu nzito kuliko maji usimtegemee mtu mwingine akulelee mwanao haitafanana na wewe unavyo care malezi ya mwanao.
Huyu dada hamna kitu unachoweza kumshauri akabadilika kwa sababu tayari kuna kitu amekijenga moyoni mwake na huyo sio mwanae so hawezi kusafisha moyo wake na kumcare kama mwanae.
Namsikitikia sana huyo mtoto maana baba yake kamletea shetani nyumbani hana pakukimbilia.
 
What if mama yake kafariki?
Kwa hii situation mama mzaz wa mtoto pia kichwa yake haipo sawa hawezi kurelax wakati mwanae analelewa na mama wa kambo hapa ujinga wa mama na baba unamtesa mtoto.
 
Chai za yule mshauri wa mahusiano

Iddi Makengo

Yaani mtoto wa miaka 5 ajue kazi zote, ajue kuomba msamaha.....ha ha ha ha atakuwa alizaliwa mbinguni huyu.
Nashukuru maana me nimewaza mtt wa 5yrs bado anakua hajielew ata....
 
[emoji23][emoji23]Sina wivu Mimi but napenda ustawi wa watoto nime experience so sishauri mtoto kulelewa na watu Baki. Na Kati ya vitu Sina wivu ni mapenzi.
Hahah but wivu ni pamoja na kutopenda watoto wa mwanamke mwenzio
 
Umeandika ukweli ulio dhahiri bila dhahiri. Hivi vitu ni changamoto sana
 
Hahah but wivu ni pamoja na kutopenda watoto wa mwanamke mwenzio
Kila mtu apende kilicho chake Kuna aine nne za upendo, upendo wako kwa mama na baba ni tofauti na upendo utakaotoa kwa mwanao. Siwezi kupenda mtoto Baki sawa na wangu niliyemzaa mtaniita na roho mbaya lakini ndo ukweli, hata wewe huwezi mpenda mtoto wa mkeo sawa na wako let's be honest. Hata watoto kwa familia wazazi Kuna watoto wanawapenda zaidi.
 
What if mama yake kafariki?
Kwa hii situation mama mzaz wa mtoto pia kichwa yake haipo sawa hawezi kurelax wakati mwanae analelewa na mama wa kambo hapa ujinga wa mama na baba unamtesa mtoto.
Bora hata mama awe amefariki Kuna mama mdogo, na wajomba kuliko mtoto kulelewa na mama wakambo, baba wa kambo hyo huwa ni disasters.
Na Mimi ndio ninachopinga wazazi wako hai kisa wametangana mwanaume anachukia mtoto ili alelewe na mama wakambo ili iweje. Ifike mahali u selfish usiwatese watoto ambao hawakuomba kuwaleta
 
Sawa bhna cariha
 
Huyo mwanamke ni mbaya sana na ana roho ya umimi. Hapo bado ndugu wengine wa mwanaume hawajaanza kumtembelea hapo nyumbani sijui atakuja kuomba ushauri mwingine wa aina gani?!
Kumpiga mtoto bila sababu imeniuma kwakweli, just imagine ndio angekuwa mwanae wa damu alafu ananyanyaswa hivyo na mama wa kambo alafu anapata taarifa angejisikiaje?
She is psychological torchured kwasababu sio damu yake which is selfishness. Dah nakosa hata la kumshauri kwakweli
 
Huyo mwanamke ni mchawi, ana roho mbaya( asisingizie sura ya mtoto) , ni mdangaji ndoa kabahatika tu.
Kama mtoto amefanana na babake ambaye ndiye mpenzi wake tungetarajia mapenzi makubwa kwa mtoto.
Aondoke hapo akaendelee na maisha yake ya kudanga.
 
Na kwanini baba u force mtoto wako apendwe na mtu asiye mamake, hivi vtu vya ku force ndo huwaumiza watoto, watu wazima hamjali hisia za mtoto, zaidi ya ubinafsi tu

Yaan we mwanamke una hoja za kise...e sana Kwan wewe mpk sasa ivi uneshakua na ma boy friends wa ngapi na je umeshatoa mimba ngapi?
 

Yaan wewe akili yako fupi sana wewe inafikir ndugu yako w damu ndo atalea Mtoto wako vizur wewe una kaichizi kidogo mifano tunayo kibao kwenye jamii zetu wajomba mashangazi Mamdogo baba mdogo wanavo nyanyasa watoto wA marehem sasa we kufa tegemea mdogo ako akukele.....utafurahi uko kaburini
 

Wewe Mungu fundi bado unapumua na una visent vina kupa jeuri flan ivi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…