Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 46,398
- 102,530
Kwa kweli bora hao wazee wanang'ara na akili zimewatuliaThe older the wine, the sweeter it's taste, ali sikika Angel Nylon maruhani yangu ๐ฆ
sema hiki kizazi kimesha kuwa cha mwewe, si tumbili wala nyoka tena.Kwa kweli bora hao wazee wanang'ara na akili zimewatulia
Hivi vitoto vya 2000 vishajichokea na vishachanganyikiwa na mapema
Hawaeleweki....vurugu tupusema hiki kizazi kimesha kuwa cha mwewe, si tumbili wala nyoka tena.
Mnanibagazia tu.Haszu jana umechanganya id umegundua lakini?.au umepotezea ๐
Ni wewe beautiful boy unaepedwa kwa uzuri wako, kwahiyo blog yako inaitwaje ๐Mnanibagazia tu.
Umemdaka wapii [emoji28]Ni wewe beautiful boy unaepedwa kwa uzuri wako, kwahiyo blog yako inaitwaje [emoji16]
Kumbe hampendi eeh,kugusa umri wa Mwanamke na kumuita mzee ni sawa kumpiga nyundo za ugoko
Ndio ukikongwe wenyewe huo mkuu.Em chukulia mfano kwangu,nimejiunga 2016 humu, nachati since mwaka huo mpaka muda huu,mwaka 2025... nitakuwa yule yule tu? Wapo sahihi kimahesabu ila hawapo sahihi kutumia neno uzee,umri unasogea ila sisi siyo vikongwe jamani๐คจ๐