Mtu akisema wanawake wa JF wamezeeka anakuwa amejuaje?

Mbona Mimi siwajui wanawake humu nasoma nacomment na post ila kufahamu huyu ni mwanamke nahisi-gi woote humu ni wanaume (si kwa maana mbaya)
 
Em chukulia mfano kwangu,nimejiunga 2016 humu, nachati since mwaka huo mpaka muda huu,mwaka 2025... nitakuwa yule yule tu? Wapo sahihi kimahesabu ila hawapo sahihi kutumia neno uzee,umri unasogea ila sisi siyo vikongwe jamani🤨🙄
Ile we dada i gues upo midle 30s'kati ya 35-38 hauchezi mbali na umo ni umri wa kuwa shangazi huo af ndio nawapendaga sn
 
Nyie ndo watu mnaoichukulia jf serious
 
Ndo maana wanaume wengi mnakufa vijana
Maana kwenu uzee ni jambo baya la kucheka mtu
Sasa Mungu kaamua kuwanyima huo uzee sasa
Mtu akiwa kikongwe anakuuma nini? Amekuomba umtawaze?
Acheni mambo ya kitoto .
Mungu hajawahi amua kuwanyima watu uhai please sister
 
Wanapozeeka wanawake wanaume wao wanakuwa vijana?
 
Em chukulia mfano kwangu,nimejiunga 2016 humu, nachati since mwaka huo mpaka muda huu,mwaka 2025... nitakuwa yule yule tu? Wapo sahihi kimahesabu ila hawapo sahihi kutumia neno uzee,umri unasogea ila sisi siyo vikongwe jamani🤨🙄
Jiulize wanaume wao miaka ipo vile vile? Kwahiyo wao miaka imesimama? Watuache kabisa mbona wao wanavitambi na vipara lakini tunawastahi🤭🤭🤭🤭
 
Em chukulia mfano kwangu,nimejiunga 2016 humu, nachati since mwaka huo mpaka muda huu,mwaka 2025... nitakuwa yule yule tu? Wapo sahihi kimahesabu ila hawapo sahihi kutumia neno uzee,umri unasogea ila sisi siyo vikongwe jamani[emoji2955][emoji849]
si ndio, ebu watuache[emoji57]
 
Khe mbona balaa na hapo wewe ni joined 2015
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…