Mtu akiwa Waziri anaendelea kuchukua posho za kibunge?

Allen Kilewella

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2011
Posts
21,470
Reaction score
40,593
Mbunge akiteuliwa kuwa Waziri, jee anaendelea kuchukua posho zake za kibunge?

Akiwa bungeni na yeye anachukua "Sitting allowances" kama wabunge wengine?

Wakati akichukua posho za kibunge, atakuwa pia analipwa posho za kiwaziri?
 
Ukiwa bungeni ni Mbunge Posho za kukaa zinamuhusu

Nje ya bunge anakula per diem ya Waziri 😀
 
Stahiki zote kama mbunge ziko palepale, na stahiki za waziri anaongezewa juu yake.

Na hata Trump kusitisha msaada haitabadilisha chochote wananchi watapandishiwa kodi kwenye bidhaa ili mawaziri waendelee kupata stahiki hizo kwahiyo jiandae kula majani
 
We jamaa mbona umesema ukweli wenye shubiri? Yani watatafuna namna tu waendelee kula bata
 
Stahiki zote kama mbunge ziko palepale, na stahiki za waziri anaongezewa juu yake.

Na hata Trump kusitisha msaada haitabadilisha chochote wananchi watapandishiwa kodi kwenye bidhaa ili mawaziri waendelee kupata stahiki hizo kwahiyo jiandae kula majani
This time tutalimia meno!
 
Mbunge akiteuliwa kuwa Waziri, jee anaendelea kuchukua posho zake za kibunge?

Akiwa bungeni na yeye anachukua "Sitting allowances" kama wabunge wengine?

Wakati akichukua posho za kibunge, atakuwa pia analipwa posho za kiwaziri?
My friends, ladies and gentlemen,

kwa kuzingatia dhamana za nchi walizobeba mawaziri kwa niaba ya Taifa, na kwa kuzingatia kazi na majukumu mazito waliyonayo kwa maslahi mapana ya waTanzania wote,

ni muhimu sana immunities na previlagies zao hususan kwenye suala la shekeli zikaangaliwa vyema, kuongezwa na kuboreshwa zaidi ili kuongeza spirit of working na comfortability katika kuwatumikia wananchi na waTanzania wote 🐒
 
Back
Top Bottom