Mtu akiwa Waziri anaendelea kuchukua posho za kibunge?

Mtu akiwa Waziri anaendelea kuchukua posho za kibunge?

Gentleman,
ni muhimu sana maslahi ya mawaziri kuimarisha na kuzingatiwa mara kwa mara bila chuki, ili hatimae kuchochea ufanisi wa kazi na majukumu ya kitaifa kwa maslahi mapana ya waTanzania wote [emoji205]
Na huku wakiibia nchi p1 na maslahi lukuki wanayoyapata
 
Aisee!!

Maana yake analipwa kwa kazi asiyofanya? Maana akiwa bungeni kama Waziri hawezi kufanya kazi zozote zile za kibunge.
Assumption ni kua na ubunge anafanya pia. Maana lasivyo si jimbo lake litakua halina mbunge Sasa?
 
Assumption ni kua na ubunge anafanya pia. Maana lasivyo si jimbo lake litakua halina mbunge Sasa?
Hizo assumptions kwa nini zisiwekewe utaratibu wa kuthibitishwa?

Maana Waziri anakwenda kwenye Jimbo lake kwa gari la uwaziri kwa mambo yake binafsi tena yasiyo ya kibunge.

Halafu kazi za bunge ni kuisimamia Serikali (mawaziri) Sasa mtu akiwa Waziri si ndiyo anakuwa Serikali?
 
Mbunge akiteuliwa kuwa Waziri, jee anaendelea kuchukua posho zake za kibunge?

Akiwa bungeni na yeye anachukua "Sitting allowances" kama wabunge wengine?

Wakati akichukua posho za kibunge, atakuwa pia analipwa posho za kiwaziri?
Unataka kukopa?
 
Kwanza analipwa pediem na bunge, sitting allowance bado na Wizara inamlipa pediem kama kawaida, ndiyo maana kuna mfumo wa kitapeli unaitwa MUSE mtu akilipwa bungeni anaweza kulipwa hata mara 9 kwa siku hiyohiyo hauwezi kutambua kama amelipwa sehemu nyingine. Kimsingi ni utapeli tupu
 
Back
Top Bottom