Chance ndoto
JF-Expert Member
- Mar 8, 2017
- 4,363
- 10,265
Kwani ni kiasi gani kinakuja Tanzania katika msaada wa USAID? Na je! Kuna sekta bajeti ya Tanzania inategemea misaada hii ya nchi za jumuiya? Amref TACAIDs UNICEF UNHCR au hyo USAID?Anachomaanisha ili kufidia pengo litakalotokea kwa Marekani kusitisha misaada Serikali haitapunguza marupurupu ya hao wabunge na mawaziri badala yake ni wananchi wa kawaida ndiyo wataongezewa Kodi.
Nauliza ili nijue kwamba USAID inafanya wabunge walipwe kiasi chao current.
Kuhint uchache nafahamu ni budget ya USA federal ni 6.3 trilion dollar. Na inatumia kati ya 0.6% ya budget hiyo kila mwaka kwenda USAID. sasa kwenye hizi Tanzania inaingia kiasi gani. Na budget yetu ni 49.3 trilioni tu ya madafu.
Nawakilisha kuelekezwa boss.