๐๐๐๐๐Jibu la kusikitisha ni ndiyo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
๐๐๐๐๐Jibu la kusikitisha ni ndiyo
Inatia hasira sana.Halafu jimboni kwake anakwenda kwa gari la Waziri Kwa mafuta ya Serikali wakati posho za kulihudumia gari la kibunge pia anachukua๐ณ
Hapo Lumumba hiyo "previlagies " inamaanisha nini!?ni muhimu sana immunities na previlagies zao hususan kwenye suala la shekeli zikaangaliwa vyema...
Wabunge Wana Posho nyingi Sana ikiwemo ya Vikao Vya KamatiZipi asizochukua?
Hakuna cha kusaidia hapa, lazima sisi wananchi ndo tumsaidie na tujisaidie hakikisha anakaa pale juu, kama atagombeaTundu lissu tusaidie
Gentleman,Hapo Lumumba hiyo "previlagies " inamaanisha nini!?
Trump alikua akimlipa Mbunge kupitia USAID?Stahiki zote kama mbunge ziko palepale, na stahiki za waziri anaongezewa juu yake.
Na hata Trump kusitisha msaada haitabadilisha chochote wananchi watapandishiwa kodi kwenye bidhaa ili mawaziri waendelee kupata stahiki hizo kwahiyo jiandae kula majani
Na diesel au petrol lts 60Mbunge akiteuliwa kuwa Waziri, jee anaendelea kuchukua posho zake za kibunge?
Akiwa bungeni na yeye anachukua "Sitting allowances" kama wabunge wengine?
Wakati akichukua posho za kibunge, atakuwa pia analipwa posho za kiwaziri?
Anachomaanisha ili kufidia pengo litakalotokea kwa Marekani kusitisha misaada Serikali haitapunguza marupurupu ya hao wabunge na mawaziri badala yake ni wananchi wa kawaida ndiyo wataongezewa Kodi.Trump alikua akimlipa Mbunge kupitia USAID?
Trump noma kumbe.
Unazijua taratibu za malipo ya Kibunge? Kama huzijui, muulize Lissu au John Heche au Mnyika watakuelewesha maana wanazijua uzuri!Mbunge akiteuliwa kuwa Waziri, jee anaendelea kuchukua posho zake za kibunge?
Akiwa bungeni na yeye anachukua "Sitting allowances" kama wabunge wengine?
Wakati akichukua posho za kibunge, atakuwa pia analipwa posho za kiwaziri?
Wewe unazijua?Unazijua taratibu za malipo ya Kibunge? Kama huzijui, muulize Lissu au John Heche au Mnyika watakuelewesha maana wanazijua uzuri!
Ndio.Wewe unazijua?
Zikoje?Ndio.
Imebidi nicheke tu, kichwa kimebeba nini comrade? Kuna ubongo kweli ndani?My friends, ladies and gentlemen,
kwa kuzingatia dhamana za nchi walizobeba mawaziri kwa niaba ya Taifa, na kwa kuzingatia kazi na majukumu mazito waliyonayo kwa maslahi mapana ya waTanzania wote,
ni muhimu sana immunities na previlagies zao hususan kwenye suala la shekeli zikaangaliwa vyema, kuongezwa na kuboreshwa zaidi ili kuongeza spirit of working na comfortability katika kuwatumikia wananchi na waTanzania wote ๐
Ndio tunachukua.Mbunge akiteuliwa kuwa Waziri, jee anaendelea kuchukua posho zake za kibunge?
Akiwa bungeni na yeye anachukua "Sitting allowances" kama wabunge wengine?
Wakati akichukua posho za kibunge, atakuwa pia analipwa posho za kiwaziri?
Mbunge akiteuliwa kuwa Waziri, jee anaendelea kuchukua posho zake za kibunge?
Akiwa bungeni na yeye anachukua "Sitting allowances" kama wabunge wengine?
Wakati akichukua posho za kibunge, atakuwa pia analipwa posho za kiwaziri?
Jibu ni ndiyo na wapo na wengine kama mwanasheria mkuu wa serikaliMbunge akiteuliwa kuwa Waziri, jee anaendelea kuchukua posho zake za kibunge?
Akiwa bungeni na yeye anachukua "Sitting allowances" kama wabunge wengine?
Wakati akichukua posho za kibunge, atakuwa pia analipwa posho za kiwaziri?
Gentleman,Imebidi nicheke tu, kichwa kimebeba nini comrade? Kuna ubongo kweli ndani?
Ndio....Mbunge akiteuliwa kuwa Waziri, jee anaendelea kuchukua posho zake za kibunge?
Akiwa bungeni na yeye anachukua "Sitting allowances" kama wabunge wengine?
Wakati akichukua posho za kibunge, atakuwa pia analipwa posho za kiwaziri?
Sijui! ๐ก๐ก๐ก๐กZikoje?