Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
Aisee!!Ndio
We jamaa mbona umesema ukweli wenye shubiri? Yani watatafuna namna tu waendelee kula bataStahiki zote kama mbunge ziko palepale, na stahiki za waziri anaongezewa juu yake.
Na hata Trump kusitisha msaada haitabadilisha chochote wananchi watapandishiwa kodi kwenye bidhaa ili mawaziri waendelee kupata stahiki hizo kwahiyo jiandae kula majani
Halafu jimboni kwake anakwenda kwa gari la Waziri Kwa mafuta ya Serikali wakati posho za kulihudumia gari la kibunge pia anachukua😳Ukiwa bungeni ni Mbunge Posho za kukaa zinamuhusu
Nje ya bunge anakula per diem ya Waziri 😀
Umejibu kibabe Sana🙄Ndio anachukua
Anachukua Sitting allowance tu na Fedha ya Mfuko wa Jimbo 😀Halafu jimboni kwake anakwenda kwa gari la Waziri Kwa mafuta ya Serikali wakati posho za kulihudumia gari la kibunge pia anachukua😳
This time tutalimia meno!Stahiki zote kama mbunge ziko palepale, na stahiki za waziri anaongezewa juu yake.
Na hata Trump kusitisha msaada haitabadilisha chochote wananchi watapandishiwa kodi kwenye bidhaa ili mawaziri waendelee kupata stahiki hizo kwahiyo jiandae kula majani
Zipi asizochukua?Anachukua Sitting allowance tu na Fedha ya Mfuko wa Jimbo 😀
Tena ?Na mke wake atapewa Posho
Maisha haya tunayoishi watu wa Tandale kwa Mtogole ni balaa!!Ndio
My friends, ladies and gentlemen,Mbunge akiteuliwa kuwa Waziri, jee anaendelea kuchukua posho zake za kibunge?
Akiwa bungeni na yeye anachukua "Sitting allowances" kama wabunge wengine?
Wakati akichukua posho za kibunge, atakuwa pia analipwa posho za kiwaziri?