Mtu akiwa Waziri anaendelea kuchukua posho za kibunge?

Anachomaanisha ili kufidia pengo litakalotokea kwa Marekani kusitisha misaada Serikali haitapunguza marupurupu ya hao wabunge na mawaziri badala yake ni wananchi wa kawaida ndiyo wataongezewa Kodi.
Kwani ni kiasi gani kinakuja Tanzania katika msaada wa USAID? Na je! Kuna sekta bajeti ya Tanzania inategemea misaada hii ya nchi za jumuiya? Amref TACAIDs UNICEF UNHCR au hyo USAID?
Nauliza ili nijue kwamba USAID inafanya wabunge walipwe kiasi chao current.

Kuhint uchache nafahamu ni budget ya USA federal ni 6.3 trilion dollar. Na inatumia kati ya 0.6% ya budget hiyo kila mwaka kwenda USAID. sasa kwenye hizi Tanzania inaingia kiasi gani. Na budget yetu ni 49.3 trilioni tu ya madafu.
Nawakilisha kuelekezwa boss.
 
Wanyonyaji nyie
 
Mbunge akiteuliwa kuwa Waziri, jee anaendelea kuchukua posho zake za kibunge?

Akiwa bungeni na yeye anachukua "Sitting allowances" kama wabunge wengine?

Wakati akichukua posho za kibunge, atakuwa pia analipwa posho za kiwaziri?
Funguka tu.

Nani huyo?
 
Na dereva wake anachukuwa zote kama dereva wa mbunge na waziri au inakuwaje hapo
 
Halafu jimboni kwake anakwenda kwa gari la Waziri Kwa mafuta ya Serikali wakati posho za kulihudumia gari la kibunge pia anachukua😳
Hebu msiifanye serikali kuwa ya majitu yasiyokuwa na akili aisee!
 
Na dereva wake anachukuwa zote kama dereva wa mbunge na waziri au inakuwaje hapo
Ila kwa dereva na gari nadhani huwa anachukuliwa vya ofisi ya wizara husika labda mhe akupigie chapuo uende nae wizarani na ikitokea dereva anakula zote
 
Gentleman,
ni katika kuongeza spirit of work na kuimarisha utendaji wa waandamizi hao wa serikali kuu kwa umma 🐒
Ulivyotype unaweza hisi umemaanisha kumbe ni utapeli mtupu. Wanyonyaji nyie na wajali maslahi yenu.
 
Ulivyotype unaweza hisi umemaanisha kumbe ni utapeli mtupu. Wanyonyaji nyie na wajali maslahi yenu.
relax gentleman,
wenye kazi na majukumu ya kitaifa ni muhimu sana maslahi yao kuzingatiwa ukilinganisha na uzito wa dhamana walizobeba kwa maslahi mapana ya waTanzania wote 🐒
 
Mbunge akiteuliwa kuwa Waziri, jee anaendelea kuchukua posho zake za kibunge?

Akiwa bungeni na yeye anachukua "Sitting allowances" kama wabunge wengine?

Wakati akichukua posho za kibunge, atakuwa pia analipwa posho za kiwaziri?
Kwani waziri sio mbunge ?
 
Mbunge akiteuliwa kuwa Waziri, jee anaendelea kuchukua posho zake za kibunge?

Akiwa bungeni na yeye anachukua "Sitting allowances" kama wabunge wengine?

Wakati akichukua posho za kibunge, atakuwa pia analipwa posho za kiwaziri?
Anaendelea kuwa mbunge
 
Hongera chawa mkuu
 
Hahahah!!!!unadhn kwann mpaka uchawi unatumika ktk kuusaka ukubwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…