Abul Aaliyah
JF-Expert Member
- Nov 8, 2016
- 7,718
- 5,899
Na huku wakiibia nchi p1 na maslahi lukuki wanayoyapataGentleman,
ni muhimu sana maslahi ya mawaziri kuimarisha na kuzingatiwa mara kwa mara bila chuki, ili hatimae kuchochea ufanisi wa kazi na majukumu ya kitaifa kwa maslahi mapana ya waTanzania wote [emoji205]
Assumption ni kua na ubunge anafanya pia. Maana lasivyo si jimbo lake litakua halina mbunge Sasa?Aisee!!
Maana yake analipwa kwa kazi asiyofanya? Maana akiwa bungeni kama Waziri hawezi kufanya kazi zozote zile za kibunge.
Hizo assumptions kwa nini zisiwekewe utaratibu wa kuthibitishwa?Assumption ni kua na ubunge anafanya pia. Maana lasivyo si jimbo lake litakua halina mbunge Sasa?
Sifa ya kuwa waziri ni kuwa mbunge.Aisee!!
Maana yake analipwa kwa kazi asiyofanya? Maana akiwa bungeni kama Waziri hawezi kufanya kazi zozote zile za kibunge.
Unataka kukopa?Mbunge akiteuliwa kuwa Waziri, jee anaendelea kuchukua posho zake za kibunge?
Akiwa bungeni na yeye anachukua "Sitting allowances" kama wabunge wengine?
Wakati akichukua posho za kibunge, atakuwa pia analipwa posho za kiwaziri?
Ndiyo bwana mkubwa!?Unataka kukopa?
Kwanza analipwa pediem na bunge, sitting allowance bado na Wizara inamlipa pediem kama kawaida, ndiyo maana kuna mfumo wa kitapeli unaitwa MUSE mtu akilipwa bungeni anaweza kulipwa hata mara 9 kwa siku hiyohiyo hauwezi kutambua kama amelipwa sehemu nyingine. Kimsingi ni utapeli tupuMbunge akiteuliwa kuwa Waziri, jee anaendelea kuchukua posho zake za kibunge?
Akiwa bungeni na yeye anachukua "Sitting allowances" kama wabunge wengine?
Wakati akichukua posho za kibunge, atakuwa pia analipwa posho za kiwaziri?
Acha utapeli, analipwa pediem + sitting allowance na hapohapo Wizara inamlipia pedium tenaAnachukua Sitting allowance tu na Fedha ya Mfuko wa Jimbo 😀