mkulimamiwa
JF-Expert Member
- Mar 4, 2025
- 2,591
- 5,315
Acha kutubagazaKwa nini masikini wengi katika nchi hii, wengi wao ni wale wapenda CCM?
Mapagala mengi ya wananchi masikini, ndio yaliyojaa bendera za CCM mijini mpaka vijijini
Na masikini wengi ndio waliozaliana kwa wingi kushinda wenye uwezo
Chunguza uone utakubaliana na mimi
Bendera za ccm huko vijini, huwezi kuziona kwenye nyumba za maana isipokuwa kwenye nyumba mfano wa pagala
Bado kidogo sana CCM muanue chenu mpaka huko vijijini
Mmebakia kwa masikini peke yake
Waonewe huruma na wasibezweNi kweli kabisa mkuu
Sa itakuwaje?
Hakika hakika π€Waonewe huruma na wasibezwe
Hao wameshiba.....hawana shidaKwani kuna tajiri yupi ambaye hayopo CCM?
Kwa nini masikini wengi katika nchi hii, wengi wao ni wale wapenda CCM?
Mapagala mengi ya wananchi masikini, ndio yaliyojaa bendera za CCM mijini mpaka vijijini
Na masikini wengi ndio waliozaliana kwa wingi kushinda wenye uwezo
Chunguza uone utakubaliana na mimi
Bendera za ccm huko vijini, huwezi kuziona kwenye nyumba za maana isipokuwa kwenye nyumba mfano wa pagala
Bado kidogo sana CCM muanue chenu mpaka huko vijijini
Mmebakia kwa masikini peke yake
Waliwahi kukuomba chakula? πππKwa nini masikini wengi katika nchi hii, wengi wao ni wale wapenda CCM?
Mapagala mengi ya wananchi masikini, ndio yaliyojaa bendera za CCM mijini mpaka vijijini
Na masikini wengi ndio waliozaliana kwa wingi kushinda wenye uwezo
Chunguza uone utakubaliana na mimi
Bendera za ccm huko vijini, huwezi kuziona kwenye nyumba za maana isipokuwa kwenye nyumba mfano wa pagala
Bado kidogo sana CCM muanue chenu mpaka huko vijijini
Mmebakia kwa masikini peke yake
Waanzie wapi, wakawaombe hao ccm wanaowapa tisheti na kofia kisha kuwasafirisha kama kokoto kwenye maloriWaliwahi kukuomba chakula? πππ
Nashangaa na mimi,Kwani kuna tajiri yupi ambaye hayopo CCM?
Kulinda mali zao tu basi, si unawajua CCM, usipowaunga mkono ukiwa nazo wanakufilisiNashangaa na mimi,
Elites wote wako CCM