Mtu aliyezowea umasikni, hakomboleki, Nyumba na (Mapagala)mengi ya watu masikini ndio yenye bendera za CCM

Kumbe kina albinda Seth kina GSM walioichangia CCM wale ni masikini eti?nilichogundua masikini wengi mko nyuma ya kibodi.tokeni front line.mmeshaambiwa fanyeni KAZI acheni wivu.hakuna SERIKALI Dunia ni itakosa kusemwa.kasemwa na kukataliwa bwana YESU sembuse raia WA kitanzania asisemwe.kila SAA masikini,ooh masikini.nyie matajiri c muwasaidie au donge la kukosa kulamba asali?
 
Mkuu wewe unaishi wapi?

Licha kwamba wanaogopa watafilisiwa na ccm, lakini huwezi kukuta bendera za ccm kwenye nyumba zao

Hilo ujuwe kabisa, wapo CCM kinafiki
 
Ukweli japo inauma.
Uelewa wa Watanzania walio wengi hasa wanaoishi vijiji watu wazima bado wanaamini ccm hii ni ya Nyerere. Hawana cm za smart hata Polepole hawawez kumsikia.

Hawajui kabisa kama CCM ya sasa haipo kwenye msingi ambao Nyerere aliuweka. Siku wakijua watabadilika.
 
Mwaka 1995 ccm waligawa bendera kwa watu wenye vibanda vya kuishi pale jangwani. Ili mrema akija kuhutubia ionekane kuna bendera za ccm nyingi pale jangwani. Baadae watu wale wakaja kuvigeuza vile vibanda kuwa makazi ya kudumu na ilikuwa shida kuwaondoa.
Ukiwa mwana ccm automatically unakuwa mjinga kichwani
 
Kwamba akiingia lissu kila mtanzania atajenga apartment
 
Huwa yanaongea kama hayana magego kwamba CCM ndiyo iliyowalea kuliko wazazi wao.
 
Hii nchi Haina upinzani WA kweli cjui kama mnaelewa.wangekuwepo bac Mwka HUU walikua wanapewa green light na wananch mapema sana.politics is a science and c mihemko.ukihemka wenye mamlaka Yao wanatumia fursa KAZI imeisha.
 
Haya ni mawazo yako

Lakini, unapimaje kwenye akili yako mkuu

Wewe unatembelea v8 halafu mimi unaniletea kofia na kunisafirisha kwa lori kuja kwa mkutano wako, ina sense?
Ukitaka kila mwanachama awe na v8, unafikiri sawasawa?
 
Ukitaka kila mwanachama awe na v8, unafikiri sawasawa?
Ni kweli si sawa

Umbali (Tabaka) uliopo kati ya mwenye mav8 na hao unaowaongoza, unaona ni sawa?

Unapokuja kwangu wewe mwenye hayo ma v8 unaanza kuniona nami ninazo kweli au unacheka kimoyomoyo?

Elimu tu yenyewe umeigawa, ya watakaoendelea kuwa masikini milele na watakaoendelea kuwa navyo milele

Huduma za afya vilevile, mkuu, hii ni haki kweli?

Huoni kwamba wananchi wakipata tu kiakili kidogo tu watakuchinja kabisa,?
 
Nchi gani raia wote Wana magari wanayotembelea viongozi?..nyi watu akili zenu zikoje!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…