Mtu anapoomba maji baada ya ajali na ukampatia, ni nini kitamtokea?

Kuna ile

Kipigo kikali jamaa hata hajaomba maji, chali.

Yaani inaaminiwa kuomba maji ni step ya mwisho kuelekea kifo. Isipokua ni kwamba kama umefikia point of no return siyo maji wala juisi itakayokurudisha au kukusindikiza.
 
🤣🤣🤣 Nime imagine kondoo vile alivyo huku watu wanakukimbiza "Huyooo Huyooo Huyoooo" (In nyerere's voice)🤣! Binadamu noma sana!
 
Yeap, pengine ni hivyo.
 
Mkuu Cesar Saint tunashukuru sana kwa ulichotufanyia..!!

Karibu.
Kwa upande wa huduma ya kwanza na matibabu ya baada ya maafa au ajali jamii yetu ya kitanzania iko nyuma sana.
Watu wengi hawajui jinsi ya kutoa huduma ya kwanza kwa watu wanaopatwa na Asthmatic attack (pumu) ,Heart-attack (shambulio la moyo) ,Ajali,kuungua na moto,kunywa sumu,kuchomwa na kitu chenye ncha kali na mengine.
Njia zetu nyingi zinafanywa kimakosa na kuhatarisha afya ya aliyepatwa na madhaa pamoja na mtoa msaada.

Hata jinsi tunavyojishughulisha na post traumatic experiences ni duni sana yaani afya ya akili haipewi kipaumbele watu wameishi kwenye depression mpaka wamekuwa na multiple personalities.
 
Mkuu kwani mtu akitoka kufanya mazoezi mbona anakunywa maji ?
 
Wazee wa kugugo
 
Ni kweli mkuu huduma ya kwanza kwa wahanga Kama hao nchi za Ulaya huko sio habari kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…